Tiba kinachoendelea hapa kinalalamikiwa hata na baadhi ya wajumbe wenyewe (wachache wenye uchungu na nchi). Kinachoelezwa ni kwamba rasimu ya kanuni za bunge hili zinazopitiwa na kamati ya Profesa Mahalu imebaini kuwa kanuni ni mbovu na za kidikteta na zitafanya mwenyekiti wa bunge kuwa dikteta na kuwa na maamuzi ya mwisho. Baadhi ya wajumbe wanaopitia kanuni hizi akiwemo Tundu lissu wakasema kanuni za aina hii hazikubaliki. Ikabidi wafumue na kuanza kuandika kanuni upya na ndio maana jana wakaomba muda ili waendelee kuandika rasimu mpya kabisa ya kanuni na zile za awali wakiziweka kando.
Lakini jana usiku.kazi walimaliza na leo wangeweza kuendelea lakini kwakuwa kificho alishasema watakutaka kesho jtano kwa semina kwahiyo hadi kesho ndo watafanya semina ya kanuni hizo mpya na sio ile rasimu waliyogawiwa wiki iliyopita. Axtually kuna kupoteza muda sana ingawa nahisi wanafanya hivi purposely!