Kidumu chama chetu, Leo Mbowe yuko bize kumkampenia Sitta japo Slaa aliwahi kumwita ni mnafiki.
Mimi hata siwaelewi posho wameshaanza kutafuna kabla hata majadiliano hayajaanza.na siku zinazidi kuyoyoma tu..
Sitashangaa nikisikia mzee 6 akiambiwa tena aende akafanya plastic surgery kwanza ya kubadiri jinsia ili apewe kugombea, chezea rafu za magamba wewe!?
Tiba kinachoendelea hapa kinalalamikiwa hata na baadhi ya wajumbe wenyewe (wachache wenye uchungu na nchi). Kinachoelezwa ni kwamba rasimu ya kanuni za bunge hili zinazopitiwa na kamati ya Profesa Mahalu imebaini kuwa kanuni ni mbovu na za kidikteta na zitafanya mwenyekiti wa bunge kuwa dikteta na kuwa na maamuzi ya mwisho. Baadhi ya wajumbe wanaopitia kanuni hizi akiwemo Tundu lissu wakasema kanuni za aina hii hazikubaliki. Ikabidi wafumue na kuanza kuandika kanuni upya na ndio maana jana wakaomba muda ili waendelee kuandika rasimu mpya kabisa ya kanuni na zile za awali wakiziweka kando.
Lakini jana usiku.kazi walimaliza na leo wangeweza kuendelea lakini kwakuwa kificho alishasema watakutaka kesho jtano kwa semina kwahiyo hadi kesho ndo watafanya semina ya kanuni hizo mpya na sio ile rasimu waliyogawiwa wiki iliyopita. Axtually kuna kupoteza muda sana ingawa nahisi wanafanya hivi purposely!
Mimi hata siwaelewi posho wameshaanza kutafuna kabla hata majadiliano hayajaanza.na siku zinazidi kuyoyoma tu..
SITTA; MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA = KURA YA SIRI/ELECTRONIC + CDM + NCCR + TLP + CUF + WAVUVI + WAGANGA WA KIENYEJI + WAFUGAJI + WALEMAVU + WATUMISHI + WASOMI + MALENGO YANAYOFANANA + CCM UAMSHO - CCM MAFISADI
Viva SITTA; Mzee wa Standard and speed. You are the man "mjengoni" who can deliver us a new constitution worthy of the name.
wewe lazima ulifeli shule, kwani hukusoma methali "baniani mbaya kiatu chake dawa"
kichwa buta weye!!!!!!!!!
Hicho ndicho hasa kilifanywa Ktk rasimu ya kwanza na kuonekana Kuwa kimeo na kuzaa rasimu hii ya Leo ambayo imebadilisha karibu asilimia 80.lakini kwanini wasi adopt kanuni zinazo tumika BW au bunge letu la kila siku na kufanya maboresho kwenye exemption eg muda wa mtu kuchangia, na jinsi ya kufikia maamuzi . mengine ni General . so hamna sababu za msingi kuja na kanuni mpya saana.
hii nafikiri ni mazara ya kuchagua certificate ya sheria badala ya watu waliobobea katika sheria, wanachukulia mambo kisiasa badala ya kisheria, ndio maana ccm wanafikiria katiba ya kisiasa badala katiba ya kisheria. sasa nakumbuka maneno ya Mwl alipo ongelea kiongozi tunaye mtaka na mambo ya kumuapisha ili aape kulinda katiba na kama akishindwa tumstaki. Leo hii wasomi wetu Chenge, Mahalu wamefungwa magoli ni aibu kwao na kwetu pia. Nchi haiendeshwi kwa ulaghaiHicho ndicho hasa kilifanywa Ktk rasimu ya kwanza na kuonekana Kuwa kimeo na kuzaa rasimu hii ya Leo ambayo imebadilisha karibu asilimia 80.