Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo

Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo

Uturuk sasa nimaelewa ,hawa jamaa kwa diplomats wako vizuri sana ,Mungu awape uwezo warejeshe amani
Hakuna amani mpaka Elensky achomoke mzeee
Angetaka amani angetulia yaani UKRAINE mpaka iwe sehem ya RUSSIA yote ama iwe na rais pro MOSCOW
RUSSIA kamatia hapo hapooo...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakukumbusha kabla uvamizi wa urusi haujaanza , viongozi kadhaa wa ulaya na America walikuwa wakipishana Moscow kumsihi Putin asivamie Ukraine lakini yeye akajiona ana akili sana..,hivi mtu kama huyu unaweza kumteteaje?
Wamuachie UKRAINE iwe sehem ya RF la sivyo kipigo tuuu
Go RUSSOOO GOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... Ukraine ni nchi huru acha kutolea mifano ya kipumbavu. How comes unafananisha relationship iliyopo kati ya Zanzibar/Tanzania na Ukraine/Russia? Ficha ujinga wako.
Kama nchi huru basi iache ishughulikiwe
UKRAINE inalea magaidi halaf iachwe bure bure
RUSSIA kamatia hapo hapooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi lengo letu isiishe,idumu angalau miaka 5 ili tujue panapovuja na pia tufahamu nani Super Power wa mchongo.
 
Nakukumbusha kabla uvamizi wa urusi haujaanza , viongozi kadhaa wa ulaya na America walikuwa wakipishana Moscow kumsihi Putin asivamie Ukraine lakini yeye akajiona ana akili sana..,hivi mtu kama huyu unaweza kumteteaje?
Mmekuja na makelele mengi yasiyo na msingi
 
Kinachonifurahisha wanaopinga mrusi kumuingilia Ukraine katika uhuru wake ndio wanaounga mkono USA na EU kupangia nchi za Africa mambo yao mfano suala la mafuta ya urusi

Na wanaounga mkono uvamizi wa urusi ndio wanaopinga maamuz ya USA na wenzie kuwapangia waAfrica nn cha kufanya

Kwahyo tuendelezeni tu hii ligi hadi akili zitukae sawa.
 
Back
Top Bottom