Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hakuna amani mpaka Elensky achomoke mzeeeUturuk sasa nimaelewa ,hawa jamaa kwa diplomats wako vizuri sana ,Mungu awape uwezo warejeshe amani
Wamuachie UKRAINE iwe sehem ya RF la sivyo kipigo tuuuNakukumbusha kabla uvamizi wa urusi haujaanza , viongozi kadhaa wa ulaya na America walikuwa wakipishana Moscow kumsihi Putin asivamie Ukraine lakini yeye akajiona ana akili sana..,hivi mtu kama huyu unaweza kumteteaje?
Kama nchi huru basi iache ishughulikiwe... Ukraine ni nchi huru acha kutolea mifano ya kipumbavu. How comes unafananisha relationship iliyopo kati ya Zanzibar/Tanzania na Ukraine/Russia? Ficha ujinga wako.
Wakati Ukraine anatembeza kipigo mpaka crimea??Wamuachie UKRAINE iwe sehem ya RF la sivyo kipigo tuuu
Go RUSSOOO GOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajua magaidi unaropoka ujinga? Ukraine inaweza kuwa na magaidi? Nenda kajifunze maana ya gaidi.Kama nchi huru basi iache ishughulikiwe
UKRAINE inalea magaidi halaf iachwe bure bure
RUSSIA kamatia hapo hapooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
The kicks of the dying horse! Hawaamini.Wakati Ukraine anatembeza kipigo mpaka crimea??
Dikiteta andunje Putin na mafashist wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine
Believe me
Mmekuja na makelele mengi yasiyo na msingiNakukumbusha kabla uvamizi wa urusi haujaanza , viongozi kadhaa wa ulaya na America walikuwa wakipishana Moscow kumsihi Putin asivamie Ukraine lakini yeye akajiona ana akili sana..,hivi mtu kama huyu unaweza kumteteaje?