Wana JF, nilikuwa nawaza hivi kwanini House Speaker wa Merikani kang'olewa kwenye kiti?
Wapo badhi ya watu wanasema ni kutokana na kusaliti wana Republican wa chama chake na kuwa mtiifu kwa Rais aliyopo kutoka chama cha Democrats mpaka asione utitiri wa misaada ya mabiliion ya Dolla zinazotumwa kwenda kusaidia vita Ukraine.
Hivi mawerikani wenyewe kama wananchi hawana shida na uhitaji wa hizo pesa?
Bora vita hivi vingeisha mapema ili Dunia itulie.