Vita vijavyo kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran vitakuwa vikali zaidi.Sababu ni hizi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Kuingia madarakani kwa mara ya pili kwa raisi Donald Trump kuna dalili zote za kuwepo kwa mkono wa Mungu ili kuliangamiza taifa la Marekani na Israel kwa namna za kimiujiza.

Kwa raisi Trump na mwenzake Netanyahu wana sifa zote za watu waovu waliotangulia huko nyuma na Mwenyezi Mungu kuamua kuwaangamiza kwa namna za ajabu.Kwa upande wa Trump nia aina za maraisi ambao wanaipaka matope taasisi ya uraisi na Ikulu ya Marekani kitu ambacho hakikutarajiwa na ndio ushahidi wa kuwepo kwa mkono wa Mungu..

Ngoja tuache kwanza ufafanuzi huo na tuingiie kwenye ushahidi wa kutokea vita vikali zaidi katika duru zifuatazo iwapo Marekani na Israel wataamua tena kupigana na Iran.

Kwanza ni Iran kupata uwanja wa kufanyia majaribio silaha zake ambazo zilisikika kwenye vyombo vya habari tu kabla ya vita vya muda mfupi kati yake na Israel miezi kadhaa na hatima na Marekani kwa umoja wao.

Israel na Marekani wamekuwa wakitumia silaha zao kwenye migomvi mingi duniani na kujua ukali wa silaha zao katika kuuwa wainyonge na hatimae kuzifanyia marekebisho.Ilijulikana kuwa Iran imetengeneza silaha aina mbali mbali lakini hatukuwahi kusikia wapi zilifanyiwa majaribio na kufanikiwa.

Siku zilipofika katika vita vyake na Israel kila mmoja wetu hakuamini kuwa silaha hizo zingeweza kupiga shabaha kwa usahihi na kuleta maangamizi kiasi cha kuporomosha magorofa katikati ya Israel na hasa mji mkuu wake wa Tel Avivi.Bila shaka baada ya vita kusitishwa imeweza kujipima na kujua wapi pa kuongeza nguvu ili kuleta ufanisi

Sehemu ya pili ni katika Iran kujiimarisha kwenye mfumo wa upelelezi na usalama wa ndani jambo ambalo ndilo pekee lililosababisha kupata hasara katika vita hivyo.Kazi hiyo tayari imeanza mara moja baada ya vita kusitishwa,Watu waovu wengi waliofanikisha hasara hizo wamejulikana na kukamatwa na kupewa hukumu za haraka.Isingekuwa aina hiyo ya watu waovu walioisaidia Israel basi ndege kadhaa za Israel zingedondoshwa siku ya mwanzo tu ya vita na ingekuwa pigo baya kwa Netanyahu.
 
Sometimes wanaopinga "hakuna Mungu" wako sahihi kuliko waaminio "Mungu yupo" tokana na mawazo ya kipumbavu kwa waaminio "Mungu yupo".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Kipi kinachokutia shaka juu ya kuwepo Mungu katika mkasa huu wa Iran na Israel pamoja na Marekani
 
Kuingia madarakani kwa mara ya pili kwa raisi Donald Trump kuna dalili zote za kuwepo kwa mkono wa Mungu ili kuliangamiza taifa la Marekani na Israel kwa namna za kimiujiza.

Kwa raisi Trump na mwenzake Netanyahu wana sifa zote za watu waovu waliotangulia huko nyuma na Mwenyezi Mungu kuamua kuwaangamiza kwa namna za ajabu.Kwa upande wa Trump nia aina za maraisi ambao wanaipaka matope taasisi ya uraisi na Ikulu ya Marekani kitu ambacho hakikutarajiwa na ndio ushahidi wa kuwepo kwa mkono wa Mungu..

Ngoja tuache kwanza ufafanuzi huo na tuingiie kwenye ushahidi wa kutokea vita vikali zaidi katika duru zifuatazo iwapo Marekani na Israel wataamua tena kupigana na Iran.

Kwanza ni Iran kupata uwanja wa kufanyia majaribio silaha zake ambazo zilisikika kwenye vyombo vya habari tu kabla ya vita vya muda mfupi kati yake na Israel miezi kadhaa na hatima na Marekani kwa umoja wao.

Israel na Marekani wamekuwa wakitumia silaha zao kwenye migomvi mingi duniani na kujua ukali wa silaha zao katika kuuwa wainyonge na hatimae kuzifanyia marekebisho.Ilijulikana kuwa Iran imetengeneza silaha aina mbali mbali lakini hatukuwahi kusikia wapi zilifanyiwa majaribio na kufanikiwa.

Siku zilipofika katika vita vyake na Israel kila mmoja wetu hakuamini kuwa silaha hizo zingeweza kupiga shabaha kwa usahihi na kuleta maangamizi kiasi cha kuporomosha magorofa katikati ya Israel na hasa mji mkuu wake wa Tel Avivi.Bila shaka baada ya vita kusitishwa imeweza kujipima na kujua wapi pa kuongeza nguvu ili kuleta ufanisi

Sehemu ya pili ni katika Iran kujiimarisha kwenye mfumo wa upelelezi na usalama wa ndani jambo ambalo ndilo pekee lililosababisha kupata hasara katika vita hivyo.Kazi hiyo tayari imeanza mara moja baada ya vita kusitishwa,Watu waovu wengi waliofanikisha hasara hizo wamejulikana na kukamatwa na kupewa hukumu za haraka.Isingekuwa aina hiyo ya watu waovu walioisaidia Israel basi ndege kadhaa za Israel zingedondoshwa siku ya mwanzo tu ya vita na ingekuwa pigo baya kwa Netanyahu.
Naam,
 
Haya uliyoandika Mossad na CIA hawayajui? Au wew unayaona kwa jicho la tatu kwa kutumia dini ya kiislamu ( mila na desturi za waarabu)
 
Kuna wengi walisema Trump ndiye ataharakisha USA kuanguka walikuwa wakiomba USA ashike Rais kama huyo Trump. Shelh Mutawali Shaarawy alisema kabla ya kufa kwake miaka 17 kabla ya kufa kwake, Israel mwisho wake utakuwa chini ya Iran

View: https://www.youtube.com/live/vzBVd8L7yDY?si=DcOXQmcx_6G351NM

Silaha ya Iran ni hatari kuliko Nuclear ya Russia hio hapo, ndicho kilicho mtisha Trump akamua kusimamisha vita.

View: https://youtu.be/yiG6ZW0Q3Rw?si=pMGwqP8efCN-J3ae

Kama Mossad wametapakaa Iran kiasi kile na wote tunayajua madhara waliyoleta kwa hiyo hiyo silaha haifahamiki huko Marekani na Israel? Na kama inafahamika Mbona bado Israel na Marekani walioshambulia Iran? Au wew kwa jicho la kiislamu unaona tayari operation za Mossad zimekoma pale Iran
 
Kuingia madarakani kwa mara ya pili kwa raisi Donald Trump kuna dalili zote za kuwepo kwa mkono wa Mungu ili kuliangamiza taifa la Marekani na Israel kwa namna za kimiujiza.

Kwa raisi Trump na mwenzake Netanyahu wana sifa zote za watu waovu waliotangulia huko nyuma na Mwenyezi Mungu kuamua kuwaangamiza kwa namna za ajabu.Kwa upande wa Trump nia aina za maraisi ambao wanaipaka matope taasisi ya uraisi na Ikulu ya Marekani kitu ambacho hakikutarajiwa na ndio ushahidi wa kuwepo kwa mkono wa Mungu..

Ngoja tuache kwanza ufafanuzi huo na tuingiie kwenye ushahidi wa kutokea vita vikali zaidi katika duru zifuatazo iwapo Marekani na Israel wataamua tena kupigana na Iran.

Kwanza ni Iran kupata uwanja wa kufanyia majaribio silaha zake ambazo zilisikika kwenye vyombo vya habari tu kabla ya vita vya muda mfupi kati yake na Israel miezi kadhaa na hatima na Marekani kwa umoja wao.

Israel na Marekani wamekuwa wakitumia silaha zao kwenye migomvi mingi duniani na kujua ukali wa silaha zao katika kuuwa wainyonge na hatimae kuzifanyia marekebisho.Ilijulikana kuwa Iran imetengeneza silaha aina mbali mbali lakini hatukuwahi kusikia wapi zilifanyiwa majaribio na kufanikiwa.

Siku zilipofika katika vita vyake na Israel kila mmoja wetu hakuamini kuwa silaha hizo zingeweza kupiga shabaha kwa usahihi na kuleta maangamizi kiasi cha kuporomosha magorofa katikati ya Israel na hasa mji mkuu wake wa Tel Avivi.Bila shaka baada ya vita kusitishwa imeweza kujipima na kujua wapi pa kuongeza nguvu ili kuleta ufanisi

Sehemu ya pili ni katika Iran kujiimarisha kwenye mfumo wa upelelezi na usalama wa ndani jambo ambalo ndilo pekee lililosababisha kupata hasara katika vita hivyo.Kazi hiyo tayari imeanza mara moja baada ya vita kusitishwa,Watu waovu wengi waliofanikisha hasara hizo wamejulikana na kukamatwa na kupewa hukumu za haraka.Isingekuwa aina hiyo ya watu waovu walioisaidia Israel basi ndege kadhaa za Israel zingedondoshwa siku ya mwanzo tu ya vita na ingekuwa pigo baya kwa Netanyahu.

Maelezo yamejaa uwongo na upunguani mwingi.

Ukweli ni kuwa makombora yote ya Iran yalikosa shabaha. Kati ya makombora zaidi ya 2,000 yaliyorushwa na Iran, karibia yote yalidunguliwa, mengine yalipotea njia na kutua maporini, 13 pekee yalipenya na kutua ndani ya Israel yaipiga maeneo ambayo wala hayakukusudiwa. Makombora hayo yaliliga makaxi ya watu, maeneo ya wazi na hospitali. Iran wenyewe walikiri kuwa hawakuwahi kuilenga hospitali wala makazi ya watu, bali makombora yalikuwa yakipotea njia kabisa, au kupiga maeneo yaliyo karibu na targets zilizokusudiwa.
 
Iran ilituma makombora 400 tu
 
Haya uliyoandika Mossad na CIA hawayajui? Au wew unayaona kwa jicho la tatu kwa kutumia dini ya kiislamu ( mila na desturi za waarabu)
Huo ndio ukweli ambao wengi wenu hamuujui.
Kuamini kuwa Kila kitu kinajulikana na Mosad ni na CIA ni aina mbaya ushirikina.
Kama Mosad na CIA wanajua kila kitu wala wasingeingia Gaza na kuuliwa kwa askari wake wengi hata kama wao wameua zaidi.
Kama CIA wanajua kila kitu basi wasingevipiga vinu vya nyuklia vya Iran na sasa wanaanza kutoa vitisho vipya kwa kujua uranium iliyorutubishwa hawakuigusa.
Marekani walitaraji Urusi itapigika mapema na Zelensky aipeleke NATO mpakani na Moscow.Wametoa silaha zimeisha sassa wameamua basi.
Mungu hutenda katika namna ambazo binadamu hawawezi kujua mwisho wake.
 
Maelezo yamejaa uwongo na upunguani mwingi.

Ukweli ni kuwa makombora yote ya Iran yalikosa shabaha. Kati ya makombora zaidi ya 2,000 yaliyorushwa na Iran, karibia yote yalidunguliwa, mengine yalipotea njia na kutua maporini, 13 pekee yalipenya na kutua ndani ya Israel yaipiga maeneo ambayo wala hayakukusudiwa. Makombora hayo yaliliga makaxi ya watu, maeneo ya wazi na hospitali. Iran wenyewe walikiri kuwa hawakuwahi kuilenga hospitali wala makazi ya watu, bali makombora yalikuwa yakipotea njia kabisa, au kupiga maeneo yaliyo karibu na targets zilizokusudiwa.
fuatilia maangamizi ya Bersheba.
 
Kama itakuwepo vita this time nitahamia mwezini kwa muda.
 
Huo ndio ukweli ambao wengi wenu hamuujui.
Kuamini kuwa Kila kitu kinajulikana na Mosad ni na CIA ni aina mbaya ushirikina.
Kama Mosad na CIA wanajua kila kitu wala wasingeingia Gaza na kuuliwa kwa askari wake wengi hata kama wao wameua zaidi.
Kama CIA wanajua kila kitu basi wasingevipiga vinu vya nyuklia vya Iran na sasa wanaanza kutoa vitisho vipya kwa kujua uranium iliyorutubishwa hawakuigusa.
Marekani walitaraji Urusi itapigika mapema na Zelensky aipeleke NATO mpakani na Moscow.Wametoa silaha zimeisha sassa wameamua basi.
Mungu hutenda katika namna ambazo binadamu hawawezi kujua mwisho wake.
Hivi ulitegemea Idf iingie gaza halafu hata mwanajeshi mmoja asiuwawe? Muwe mnaweka kando mizuka ya kidini kwenye fact.
Hivi wew unaamini kabsa Iran ni level ya Marekani?
 
🇮🇷\🇮🇱 Radar data from Oregon State University, reviewed by The Telegraph, confirms Iranian MISSILES hit FIVE Israeli MILITARY sites during the recent 12-DAY WAR.

The targeted locations — Tel Nof, Camp Glilot, Irtah, Zipporit, and Beit Nehemia — were kept SECRET under ISRAELI MILITARY CENSORSHIP.
 
Aisome Mwanamlya.
Na kabla ya Telegraph Israel wenyewe wamekiri japo kwa kiwango cha chini kupigwa kwenye kambi zao.
Kumbuka siku Trump alipositisha vita waziri wa ulinzi wa Iran alisafiri kwenda China kuishukuru kwa ushirikiano wake.
 
🇮🇷\🇮🇱 Radar data from Oregon State University, reviewed by The Telegraph, confirms Iranian MISSILES hit FIVE Israeli MILITARY sites during the recent 12-DAY WAR.

The targeted locations — Tel Nof, Camp Glilot, Irtah, Zipporit, and Beit Nehemia — were kept SECRET under ISRAELI MILITARY CENSORSHIP.
Kuna yule kilaza humu international forum atakataa huyo information
 
Back
Top Bottom