Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

Kweli kabisa, yani kwa ujumla uongozi ndo kila kitu. Nzuri
 
Duh! Yaani kwa huyo Mkapa mlikua mnatukimbiza, ila naona miaka ya hivi majuzi tumewatoka na kuwaacha, jameni aliyeandaa hiyo animation ni balaa la mtu dadadeki, nitaitunza siku zote hiyo.

Mzee wa mwakani njoo uone haya madude lwiva jifunze historia kidogo.

Hii inaonyesha chanzo cha hasira zote hizi mnazokuaga nazo.

Clipboard09.jpg
 
Na hapo ukumbuke tuna ushindani na kenya tu ethiopia kwenye great East Africa hua hatuwahesabu kabisa.
 
Huu uzi mumeukaushia na kuupitia kwa mbali kama ukoma, ila ndio ukweli wenyewe, yaani kipindi cha miaka mitano Kenya imeongeza pengo la kiuchumi kuliko awamu zingine zote, mna la kujifunza sana majirani, siku nyingine msitangulize chuki kwenye hii michezo, mjifunze kukumbatiana na wenzenu, na bado kama hamjajifunza kitu subiri miaka ijayo mitano tukutane tena hapa muone kama hamtakua mumeota mvi kila mmoja wenu kwa stress za chuki.
 
Wachana na Hawa, useless kabisa.

A country blessed with all kinds of natural resources....yet mentally they are stuck on stupid.
 
Huu uzi mumeukaushia na kuupitia kwa mbali kama ukoma, ila ndio ukweli wenyewe, yaani kipindi cha miaka mitano Kenya imeongeza pengo la kiuchumi kuliko awamu zingine zote, mna la kujifunza sana majirani, siku nyingine msitangulize chuki kwenye hii michezo, mjifunze kukumbatiana na wenzenu, na bado kama hamjajifunza kitu subiri miaka ijayo mitano tukutane tena hapa muone kama hamtakua mumeota mvi kila mmoja wenu kwa stress za chuki.
Sijui ni kweli au ni makaratasi. Maana wakati uchumi mkubwa mkifa kwa njaa, corona, mafuriko, nzige na ukame, nchi mnayoizidi kwa karibu nusu hakuna njaa, hakuna nzige, umwagiliaji unaendelea na zaidi ya yote kuna dollars multi millionaires wengi kuliko hiyo nchi yenu. Sometime tufikirie angle hiyo pia
 
Kaka huu uzi unahitaji akili kuujadili, watu wa haiba yako mngesubiri watu wazima waujadili kwanza kisha mtapewa fursa ya kuja kuukojolea.
 
Duh! Yaani kwa huyo Mkapa mlikua mnatukimbiza, ila naona miaka ya hivi majuzi tumewatoka na kuwaacha, jameni aliyeandaa hiyo animation ni balaa la mtu dadadeki....nitaitunza siku zote hiyo
Mzee wa mwakani njoo uone haya madude lwiva jifunze historia kidogo.

Hii inaonyesha chanzo cha hasira zote hizi mnazokuaga nazo.
View attachment 1549577
Katika vitu vilituudhi Ni kua ldc haya mengine yanavumilika
 
Huu uzi mumeukaushia na kuupitia kwa mbali kama ukoma, ila ndio ukweli wenyewe, yaani kipindi cha miaka mitano Kenya imeongeza pengo la kiuchumi kuliko awamu zingine zote, mna la kujifunza sana majirani, siku nyingine msitangulize chuki kwenye hii michezo, mjifunze kukumbatiana na wenzenu, na bado kama hamjajifunza kitu subiri miaka ijayo mitano tukutane tena hapa muone kama hamtakua mumeota mvi kila mmoja wenu kwa stress za chuki.
Ww wala usionge sana ....unafikiri uchumi ni maneno, tukutane 2025 ....utaelewa mana ya mabadiliko.
 
Sijui ni kweli au ni makaratasi. Maana wakati uchumi mkubwa mkifa kwa njaa, corona, mafuriko, nzige na ukame, nchi mnayoizidi kwa karibu nusu hakuna njaa, hakuna nzige, umwagiliaji unaendelea na zaidi ya yote kuna dollars multi millionaires wengi kuliko hiyo nchi yenu. Sometime tufikirie angle hiyo pia
tatizo lenu kubwa wengi wenu ni walemavu wa akili na wavivu.......nchi kama kenya na uhabeshi na matatizo yao yote si wa kushinda tanzania na raslimali hizo zote
 
Huu uzi mumeukaushia na kuupitia kwa mbali kama ukoma, ila ndio ukweli wenyewe, yaani kipindi cha miaka mitano Kenya imeongeza pengo la kiuchumi kuliko awamu zingine zote, mna la kujifunza sana majirani, siku nyingine msitangulize chuki kwenye hii michezo, mjifunze kukumbatiana na wenzenu, na bado kama hamjajifunza kitu subiri miaka ijayo mitano tukutane tena hapa muone kama hamtakua mumeota mvi kila mmoja wenu kwa stress za chuki.
Uchumi sio kama siasa za kupayuka na kuruka ruka tu....jua kwamba uwekezaji wa kimkakati unao fanyika utatoa majib mapema sana, wewe kuwa mpole tu sindano zitaingia hata kwa lazima.

Kuna kipindi mliwekeza kwenye miundo mbinu, sasa msilewe sifa na hiyo payoff mnayo experience.
 
Uchumi sio kama siasa za kupayuka na kuruka ruka tu, jua kwamba uwekezaji wa kimkakati unao fanyika utatoa majib mapema sana, wewe kuwa mpole tu sindano zitaingia hata kwa lazima.

Kuna kipindi mliwekeza kwenye miundo mbinu, sasa msilewe sifa na hiyo payoff mnayo experience.
Kenya inawekeza zaidi kwenye infrastructure kuliko hapo nyuma shida yenu ni kujiona nyinyi tu ndo mnajenga, rais akifungua posho mill mnacelebrate the whole week.
 
kenya inawekeza zaidi kwenye infrastructure kuliko hapo nyuma shida yenu ni kujiona nyinyi tu ndo mnajenga, rais akifungua posho mill mnacelebrate the whole week
Izo ndio blabla nazo sema ...subiri vitu kama kama [emoji116] plus on going upgrade of infrastructure ....trust me you will be shocked ...its a time bomb.
Screenshot_20200827-200458.jpg
Screenshot_20200824-131528.jpg
 
Wachana na Hawa, useless kabisa.

A country blessed with all kinds of natural resources, yet mentally they are stuck on stupid.

Definition of Stupidity: Knowing the truth, seeing the truth, sometimes touching the truth, but still believing the lies. This is what Kenyans do. They believe in their big GDP but their problems which are facing are like the ones which Burundi, Malawi, Somalia, South Sudan etc face. They know this truth but they burry their heads under their huge paper based GDP.

Aha haa haaa no wonder in the eastern Afrika is only Kenya which yaps about GDP.
 
[emoji38] [emoji38] hili bomu la GDP nalo litaripuka siku si nyingi, dalili zote ziko wazi.
[emoji1][emoji1] Watu na GDP ya $109 bln wanashindwa kulipa mishahara manesi wa dispensary[emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom