Hahah!!tuletee data kutoka 2015 tuone mliendaje mpka mkatu double.only if going back to LDC was like uhuru to get drunk.
tunawadouble no of millionaires na hata billionaire.
tuna miji inayokuwa kwa kasi zaidi ukanda huu,
tunawekeza zaidi ukanda huu. unakaa unaota kuhusu LDC[emoji38]
iii) The northern counties(Mandera, Garissa, Moyale, Wajir) do not have a good road network(Historical issues) and account for majority of roads not yet tarmacked. The southern counties from Mombasa to Busia at the border with Uganda, have a very good road network that ensures avocados from Meru in eastern, potatoes from Nyandarua in central , wheat from rift valley move across. Chilli, Carrots, Onions from Bungoma easily get to Mombasa on the other side of the country.ii) Will double check the source.
iii) If I got you well, the issue in here is the distribution, not supply. My question is how within a same country with all you believe and think to have face such basic problems. Remember, you are claiming and thinking to have a best and wide road network in the region. Now how distribution becomes an issue.
iv) Op cit.
v) ibid
Please change the Header. The fight for the largest economy in east africa is between Kenya and ethiopia not Tanzania, we forgot your story in 2010.
2010: $8 billion GDP difference between Kenya and Tanzania with Kenya leading.
2020: $42 billion GDP difference between Kenya and Tanzania with Kenya leading.
Hii mambo ni pana kushinda upeo zenuHuyu magufuli tangu aingie per capita imegrow na $80 pekee,
Alafu juzi anajisifu yeye ndiye amefikisha tz lower middle income.
Mwenyezi Mungu nakuomba uzidi kuibariki nchi yangu, tupe matunda ya kujitoa kwetu kupigania uhuru wa kusini mwa bara la Afrika, nchi yetu nzuri uliyotuzawadia bure ilikuwa uwanja wa mapambano kwa wapigania uhuru wa afrika ya kusini, msumbiji, angola, DRC, Botswana, Zimbabwe, Namibia, nk. TUNAZIDI KUKUOMBA EE MUNGU BABA NCHI YETU IWE KIMBILIO NA KITOVU CHA UCHUMI IMARA NA WA KISASA KATIKA BARA HILI LA AFRIKA NA DUNIA KWA UJUMLA WAKE. TUNAOMBA HAYA KWA NJIA YA KRISTU BWANA WETU AMINA.Mwaka 1987 na kurudi nyuma gdp ya Tanzania ilikuwa kubwa kuliko ya Kenya.
Tena Mwaka 2000 gdp ya Tanzania ilizidi ya kenya
Sasa ni muda muafaka wa kurudi Kwenye nafasi stahiki , kila kitu kinapatikana Tanzania .
Ninyi wakenya haya majigambo ya kijinga yanawapoteza sana.Na huyo mpumbavu mwenzenu ambae analeta viramani akionesha Tz kuna njaa kushinda kenya.HV MKO SERIOUS NYIE?MWAKA JUZI UAE IMELETA MSAASA WA CHAKULA KENYA JE UMEWAHI KUPATA TAARIFA TZ IKIPEWA FOOD AID?KTK mataifa ambayo yapo ktk orodha ya kupewa misaada ya chakula Kenya ipo ila Tanzania haijaorodheshwa.Utajitapaje na unapewa msaada wa chakula?Jamaa mwaka huu hadi Ghana , nchi ya watu 29 million imewapita . Kidogo DRC iwapite. Nchi ya wazembe.
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
Halafu ninyi haya mambo ya GDP kubwa yanaenda kinyume na uhalisia.Ethiopia ni heavy weiight wana viongozi wenye IQ kubwa mno na weledi ktk mambo siyo hawa akina bongo lala kula manzese kujamba magomeni
2025 inakaribia, najaribu kuangalia Tz nione anything meaningful to place it above Kenya so far sioni, mabadiliko in sociopolitical scene wapi! Tz wont be anywhere near kenya in 50 years even.., kuna aliye nena 2020 Tz will be above and the biggest economy in EAC, amefyata.., am looking for that post..,Ww wala usionge sana ....unafikiri uchumi ni maneno, tukutane 2025 ....utaelewa mana ya mabadiliko.