Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Mkuu hapa hapa na mimi nina swali je, hao askari waliorudi hawakuwa na makamanda wao?? Tuambiwe ni Wapi...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa hapa na mimi nina swali je, hao askari waliorudi hawakuwa na makamanda wao?? Tuambiwe ni Wapi...??

Sent using Jamii Forums mobile app

Makamanda wetu wote wa vita ile wanajulikana na walipewa Nishani za Kagera; yaani kama wewe hujawahi kusikia makamanda na wapiganaji waliopewa Nishani za Kagera, basi huu mjadala utakuwa uko juu sana kwako kufuatilia. Ukipitia rekodi za jeshi la msumbiji hakuna mwenye Nishani ya Kagera hata mmoja.
 
Sisi unatuona ni vichwa maji kwa sababu mzigo wa mwenzako kwako unaona ni ganda la usufi. Athari ya uvamizi tunayo sisi Wazanzibari tunamwelewa Laanatullahi Nyerere vizuri
Huyu ndugu analalamika kuhusu vita vya Uganda,lakini mimi namwona kwa namna tofauti.
Wazanzibari wamechoka kunyanyaswa,wamechoka kuonewa,wamechoka kutawaliwa na Watanganyika.
Huyu yuko nyuma ya mambo ya dini,lakini ni ukweli ulio wazi kwamba hawa jamaa wanaumia.
Leo hii kuna masheikh wao zaidi ya mia wako ndani,wengine ni wagonjwa,wanateseka,wanadhalilishwa,kesi yao haileweki itakwisha lini...nk.
Jamani,hawa nao ni watanzania,wana haki ya kusikilizwa,wana haki ya kuishi kwa furaha na amani ktk nchi yao,tuwasikilize.

Kulikuwa na mchakato wa kuandika katiba mpya,katiba ya wananchi siyo ya wanasiasa,tumekwama wapi kujipatia katiba yetu nzuri sisi watanzania?
 
umeanza UDINI tena???waangalieni ndugu zenu huko mashariki ya kati wote waarabu wote waislamu lakini bado wanachinjana mpaka leo!!!
Nyani haoni....huko DRC South Sudani, Burundi,Rwanda nk hawako waislam wala waarabu ni weusi na wakristo wenzetu....ubaguzi haulipi.
 
Tatizo lenu wazenji hamna ushirikiano OVER
 
Inaitwa cowhorn's war tactic,,unapopambana na adui mnazunguka pande zote halafu mnaanza kumpiga kila atakapokimbilia anakutana na kichapo.Kuna mzee mmoja amestaafu jeshini aliniambia hata Amin wangeweza kumkamata ila walimwachia aondoke kwani kama wangelimkamata hali ya pale jijini kampala ingechafuka zaidi.
 

..nishani anazozitoa JK hapo ktk picha ni za "operation safisha."

..kwa uelewa wangu operation hiyo ilikuwa ni miaka ya 80 wakati wa utawala wa Raisi Ali Hassan Mwinyi.

..hali ya kiusalama ya Msumbiji ilikuwa tete sana baada ya kufariki Raisi Samora Machel.

..Tanzania ililazimika kupeleka askari kusaidiana na majeshi ya Msumbiji, na Zimbabwe, kupambana na magaidi wa Renamo.

.."operation safisha " iliongozwa na Brigadier.Hassan Ngwilizi ambaye baadae alikuja kuwa Waziri ktk awamu ya Mzee Mkapa[ r.i.p].

..askari waliofariki ktk operation hiyo walizikwa Msumbiji, lakini baadae miili yao ilirejeshwa Tanzania na kuzikwa ktk makaburi ya Naliendele, Mtwara.

NB:

..kuna mwanaJF aliweka tangazo lake kuwa anauza kitabu cha operation ya makomando wa Kitanzania kwenda kuokoa askari wetu waliokuwa wametekwa Msumbiji. Nimekuwa nikiitafuta post hiyo sijaiona.
 
Kuna sehemu ya ukweli katika post hii; kuwa hata wale marafiki zangu Colonel Justin Marwa naye aliepewa tuzo siku hiyo na Kikwete wakati hakuwa kwenye vita za ukombozi wa msumbiji bali alishiriki katika kuleta amani Msumbij; hiyo ni kweli. Lakini kabla ya hapo walikuwa wanapewa tuzo za ushujuaa na nishani za utumishi uliotukuka ndizo zililikuwa zinatolewa kwa wote waliopigana Msumbiji na Zimbabwe, ila baadaye ziatokea nishani za Zimbabwe tu. Kila medal maandishi yake yalikuwa yanaonesha ni kwa nini anapata medal hiyo, na hapo ndipo unapokuta mchango wao wa Msumbiji au Zimbabwe. Mimi kamanda wangu mmoja liipata hiyo ya Msumbiji ingawa alifariki muda mfupi wa kupata nishani hiyo kutokana na ukimwi. Baadhi waliozipata ni pamoja na Brigedia Hashim Mbita ingawa hakuwahi kupiganisha vita yoyote.
 

..Asante.

..sikujua kama kulikuwa na nishani za Zimbabwe pia.
 
..Asante.

..sikujua kama kulikuwa na nishani za Zimbabwe pia.
Nadhani wakati serikali inaanza utaratibu wa kustreamline utoaji wa nishani hizi, wale wapiganaji walioshiriki Msumbiji wote walishapta nishani zao za ushujaa na walishastaafu jeshi; ndiyo maana huzioni distinctly.
 

Wabhejah sana! Ubarikiwe kwa Video na elimu ya upande wa pili wa hii vita!

Nimeona hao kina Imran Kombe kumbe walikua vijana wadogo kabisa?!? Pongezi nyingi sana Kwao na Pole zaidi kwa wote! Muumba awalipe zaidi na zaidi kwa mujibu wa mapenzi yake,Ameen!

Ila

Siasa bwana, eti; “Mbele ya Amiri jeshi mkuu Rais wa JMT, “””Viongozi wa Chama na Serikali”””! .”

Hivi kumbe siku zote ni Chama kwanza Serikali baadae eeh?!

Ahsante babu.
 

Babu,
Napendekeza hii ya kuficha Siri za marehemu tuiache maana inachangia sana kwa wale wasioelewa kupita mulemule walipopita na kusababisha maafa waliotangulia!!

Binaadam hujifunza kutokana na makosa! Ndio maumbile yetu!
 

Nina Imani kuna sababu ya dhati kabisa kwanini wanayapitia hayo!! Muumba wa vyote awatimilizie yaliyo ya haki!


Sorry nje Umayyad mada kiduchu, hivi ‘wamisionari’ walianzia wapi kimafanikio walipofika kwenye Ardhi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…