Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Kichuguu

Heshima Yako Mzee wangu.

Samahani nitakuwa na maswali naomba nikusumbue.

1. Binafsi sijui chanzo halisi cha hii vita ya Tanzania na Uganda Maarufu kama vita ya Kagera. Nasikia tu urafiki wa Obote na Mwalimu Na sio uvamizi wa Nduli Idd Amin Eneo la Kagera

2. Uhusika wa kagame na Museven katika kuwapambania watanzania
Je nikweli kagame alipigana vita ya Kagera kama Una Taarifa.

3. Ni kweli Rais wa Libya alimsaidia sana Nduli Iddi amin na Baadaye kuwaomba Radhi watanzania kwa Kutaka Kujenga Mji wote wa Dodoma.
Barabara, Uwanja wa Ndege, msikiti wa Gadafi nk

Asante sana.
 
Mwaka 1978 Msumbiji ilikuwa na miaka minne au mitano tu ya uhuru na ilikuwa bado inaitegemea sana sana Tanzania kiulilinzi katika kupambana na uvamizi kutoka Rhodesia na South Afrika. Kulikuwa na askari wengi wa Tanzania waliokuwa wakiisadia Serikali ya Samora dhidi ya mashambulizi hayo, na vile vile katika kufundisha jeshi lake. Msumbiji hawakuwa na jeshi la kuja kusaidia Tanzania hata la mtu mmoja tu.
Pia walikuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na Renamo
 
Back
Top Bottom