Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza


mkuu,akili yako imekubali hili?
 
 
Hii stori ni nzuri sana. Lakini iliandika itaendelea mbona sioni ikiendelea?
 

Bangi nibangue....
 
....... Na mwisho ndicho kilichofanyika. Idi Amin alipinduliwa April 10, 1979 na akakimbia Uganda. Lakin majeshi ya Tanzania hayakuishia Kampala tu. Vita ilihesabika imekwisha June 03, 1979 siku Silas Mayunga na vikosi vyake vilipojikuta vimekanyaga ardhi ya Sudan huku wasudan wameshikilia bunduki wakidhani na wao wanavamiwa baada ya idi Amin.

Mayunga akasalimiana na wasudan na kisha akainua fimbo yake kwa askari wake kushangilia kwamba wameyafukuza majeshi ya Idi Amin hadi nje ya Uganda.

Nadhani kwa kifupi nimejibu swali lako.

Cc: Jasusi, Pasco, Echolima,[/QUOTE]

Hii sehemu ya mwisho ulipomtaja afande Mayunga napo pana historia muhimu sana. Afande #Echolima hii ipo kwenye sura ya 2 na ya 3?
 
vipi kuhusu askari wa tanzania waliofungwa baada ya vita .............kuna somebody afande mchwampaka inasemekana walitaka kumpindua jk nyerere baada ya vita kumalizika............naomba unidadavulie kidogo kama any details
 
kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji.

Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010

Nimepita hapo leo nimekutana na hii habari ya Nshimanya, kilichonihuzunisha ni mabinti zake kujinyonga, nakumbuka kipindi hicho Tabora baba yao alipoua na kuwekwa ndani dada angu alisoma na mtoto wa nshimany Jaccline, Mihayo sec, ila tulihama tabora na sikujua tena kilichotokea, jamani imeniuma sana kwa sababu hawa watoto wake waliishi maisha magumu baada ya huu mkasa wa baba yao ukizingatia walikuwa wanaishi bila mama, baba alikuwa hadumu na wake kabisa, samahani walijinyonga kwa sababu gani?
 
Kweli mimi siwezi kudharau kazi ya Baba Nape alifanya kazi nzuri ya kuhamasisha askari alitia moyo waliovunjika moyo ila kwa maneno yako umenifanya nicheke sana.

Kumbe ndio maana nape anaongea sana, kipaji karithi kwa baba., ila anakitumia kubomoa amani sio kujenga kama babake.
 

Kama unawakumbuka watoto alizaa na mwarabu walikua shombe hivi Mariam alijiua kwa issue za mapenzi na Mohorana alijiua pale Kinondoni makuburin alidai maisha magumu,aliuza nyumba ya urithi wa mama yake akamaliza na Marioo akaingia mtini
 
Hapa niko kutafuta ukweli kuhusu chanzo cha Vita ya uganda na Tanzania kwa maaana
Yamekuwa maneno mengi kuwa Iddi amini ndio alituanza sie kwa kuingia kwenye mpaka wetu wa uganda na mkoani kagera na kujimilikisha
Wengine wanasema HAPANA, JK ndio mwanZilishi maana yeye baada ya iddi amini kumtoa Obote kijeshi pale uganda, obote alikimbilia Tanzania na kuwek makazi yake na kumwambia mkuu kama akimrudisha basi ye atampa kile chanzo cha nile na victoria kumiliki.
Sasa hapa ISIWE ni ushabiki, wa utanzania/ udini bali uwe ni ukweli na maelezo yawe sawa..

Maana dunia ya leo si ya jana, kuna mitandao ambayo ina clip za video za kutosha tuu.
 
Kama dunia ya leo sio ya jana na kama kuna clip.za kitosha tu, basi, zisome. Sio unaanzisha kitu halafu unajivuruga mwenyewe.
 
Jk alimuondoa kwasababu ni Muislam, ndio maana Gadafi akaja kumsaidia IDD amin japo hakufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…