Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Kila nikiisoma hii comment huwa naishia kucheka tu!

..tatizo madogo wengi tunaojadiliana nao hapa JF huwa hawajiongezi.

..source of information ya madogo wetu ni Jamii Forums only.

..Iddi Amini alikuwa anasaidiwa na vikosi vya Libya, pamoja na vikosi vya Wapalestina wa PLO.

..Ni bahati mbaya kwamba vijana wetu hapa JF wanadhani vita vya Kagera vilikuwa lelemama.
 
Hivi ulishamaliza hii story??
 
Hii story nimeisoma mpaka mwili unasisimka,bravo
 
Hii story nimeisoma mpaka mwili unasisimka,bravo

Ni story nzuri sanaa na ya kishujaa kweli kweli.. inaonesha thamani ya maisha na kutambua thamani ya wengine, inaonesha how ukijitolea kishujaa unavyoacha notable sign ambayo ni legacy isiyoweza sahaulika milele.[emoji1534]
 
Hiki kitabu ninacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simulizi nzuri,naona kuna watu watastaafu bila ya vita,wanaishia DRC tu.Tupigane hata na Kenya.
 
Dah! Nimeisoma hii hadi mwili umesisimka. Ahsante sana kwa kuileta habari hii jamvini na hongera zako nyingi katika kusimama kidete kutetea heshima ya nchi yetu.
Kuna watu wanakutafuta huko sijui umeonana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…