Vita vya Marekani Mashariki ya Kati vinaweza kuchochea ugaidi dhidi ya raia wa Marekani Ulimwenguni

Vita vya Marekani Mashariki ya Kati vinaweza kuchochea ugaidi dhidi ya raia wa Marekani Ulimwenguni

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni suala la muda tu ulimwengu utaanza kushuhudia matukio ya kigaidi duniani, hususani dhidi ya Marekani, raia wake na washirika wake. Matukio hayo hayatakua ya kushangaza sana duniani katika siku zijazo, kwakua ni Marekani mwenyewe amechochea hali hiyo.

Itakua ni kama halali ya magaidi kutoka mashariki ya kati kuwalipua na kuwaangamiza kabisa raia wote wa Marekani watakaoonekana, kubainika na kuthibitika kwamba ni raia wa Marekani duniani kote.

Maeneo ya starehe, balozi za Marekani na kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu hasa itakayohusisha raia wa Marekani, yatakua kwenye hatari kubwa zaidi ya kulengwa na magaidi, kama hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya maafa na uharibifu iloufanya Marekani mashariki ya kati.

Vita vya mashariki ya kati vitarejesha kwa kasi sana matukio ya kigaidi duniani na kusababisha maafa makubwa kwa wasio na hatia na uharibifu, pengine zaidi ya matukio ya kigaidi yaliyowahi kutokea duniani siku za nyuma.

Athari za maafa na uharibifu ulofanywa na Marekani mashariki ya kati, vinawafanya waathirika walio hai huko mashariki ya kati, kua na ujasiri usio wa kibinadamu, lakini pia kua na hasira zaidi za kulipa kisasi kwa kujitoa muhanga, baada ya ndugu,jamaa na familia zao kuangamizwa bila ya kua na hatia na Marekani.

Let's wait and see..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mauaji yalofanywa na Marekani zidi ya ndugu, jamaa na marafiki wa hao unaowahofia na kuwaita Magaidi na wataendeleza ugaidi Duniani, unayaitaje pia?
 
Mauaji yalofanywa na Marekani zidi ya ndugu, jamaa na marafiki wa hao unaowahofia na kuwaita Magaidi na wataendeleza ugaidi Duniani, unayaitaje pia?
in fact magaidi hawafai kuwapo duniani kote hata kwa sekunde moja tu, ila kwa ilichofanya Marekani dhidi ya raia wasio na hatia Irani, ni wazi magaidi wengi mno wataibuka na kufanya uharibifu na kusababisha maafa makubwa zaidi dhidi ya Marekani na raia wake kote ulimwenguni.

Nadhani halitakua jambo la kushangaza tena ulimwenguni 🐒
 
Swali: hayo mauaji yaliyofanywa na Marekani zidi ya raia wasio na hatia, yanaitwaje?
 
Swali: hayo mauaji yaliyofanywa na Marekani zidi ya raia wasio na hatia, yanaitwaje?
Yanaitwa mauaji ya ya makusudi ya Marekani dhidi ya raia na watoto wasio na hatia ndani ya ardhi ya Irani 🐒
 
Yanaitwa mauaji ya ya makusudi ya Marekani dhidi ya raia na watoto wasio na hatia ndani ya ardhi ya Irani 🐒
Uwezi ku term kama ni ugaidi pia, au icho alichokifanya Marakan kingefanywa na upande wa pili ndio ingependeza zaidi ku term neno Ugaidi?
 
Kwa mfano , niliangalia documentary moja ya Afghanstan , USA amesababisha mayatima mamilion kwa vita visizo na vichwa wala miguu . Yaani kama mimi binafsi , natunza sana kisasi .

Mimi kama ningekuwa raia wa afghanstan , nisingekubali hawa jamaa wafike hata awe mtoto mchaga kutoka USA. Waarabu walishapoteza so wafungulie tu jahannam kwa raia wote wa USA .
 
US asipoendelea na mpango wa kufanya mabadiliko ndani ya Iran...atakua mhanga wa matukio ya kigaidi yatakayopangwa na Israel na kuipa lawama Iran ili kumlazimisha US kuvamia kikamilifu Iran.
 
Saudi Arabia
Qatar
UAE
Indonesia
Tunisia
Egypt
Oman
Pakistan

Hawa wote ni Muslim countries na hawajakemea Trump alichokifanya huko middle east
Elimu, Elimu, Elimu
 
Back
Top Bottom