Vita vya mimba havijawahi kumuacha diamond platnumz salama

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Kila kukicha kuna tetesi za wadada wa mujini mfano irene(Queen video wimbo wa kwetu),hamisa mabeto(queen video wimbo wa salome),penny(ex girlfriend wa dai) kubeba ujauzito wa msanii diamond ila cha kushangaza ni mwanamke mmoja pekee aliyetangaza ana mimba ya dai na akajifungua mara mbili. Ila wadada wengine mimba zao sijui huwa wanazipeleka wapi. kwa sasa insta kumechafuka kwa tetesi,hadi kufikia january matokeo ya mimba hizo yatakua hadharani


Mdogo wake zari nae hakua nyuma kurusha madongo yake bila kujali maana ya mswahili mpe picha story atatunga mwenyewe
Kwa jinsi hii familia ilivyopendeza wengi wanaombea isambaratike vibaya
 
Njia pekee ya MKATO na ni RAHISI ya kujiongezea followers ili upate matangazo ya biashara na upige pesa fasta ni kulitumia jina la MWENYE MUZIKI WAKE EAST AFRICA DIAMOND PLATNUMZ na hakuna jina lingine.
 
Kwanza kama huyu Irene sisi wengine tunamstahi tu hapa, tunajua uozo wake wote.
 
Waswahili sometym huwa tunamambo ya hovyo sana tunasubir m2 ahangaike kutafuta mafanikio akshayapata na sisi tunataka kujitukuza kupitia mafanikio yake,muacheni Domo ayafurahie matunda ya hustling zake na ninyi tafuteni mafanikio kivyenu
 
Mumuache kijana bado papuchi hajazijua vizuri na wala hazijamkinai. Mwacheni ajilie zabibu kwa madaha ninyi mwaita "swaggers"!
 
Iv Huyo ndyo nan nahitaji picha na maelezo kumuhusu
 
huu ubuyu wa insta hautamuacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…