Vita vya mimba havijawahi kumuacha diamond platnumz salama

Vita vya mimba havijawahi kumuacha diamond platnumz salama

Nimefika Singida Salama, wandugu wote wanawasalimia. Asandeni
 
Ukiona mtu ana tangaza mimba ujue haipo kabisa....
Tatizo wengi mnafikiri kushika mimba ni rahisi sana... muulizeni Wema anajua kuwa kubeba mimba sio mchezo.
Kweli... Mimba hua inajitangaza yenyewe
 
Mondi huyu huyu waliyesema hana uzazi kautoa kafara freemason
 
Back
Top Bottom