President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
NItaendelea kuheshim maamuzi ya TEC. jk hawezi sema chochote kwa maana alibariki zoezi la uchekachuaji uliofanywa na chama chake
vita baina ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) na Baraza la Maaskofu (TEC) vimepamba moto huku baadhi ya wajumbe wa NEC-CCM (Sitta na Migiro) wakiingia ulingoni dhidi ya TEC.
Angalizo; haya mapambano yasiyo na refa yakiendelea na kusambaa zaidi yataleta athari kubwa kwa taifa letu (labda JK aingilie kati kuamua mshindi), na mwisho wa siku wananchi wanaachwa njia panda waipigie katiba inayopendekezwa kura ya HAPANA au ya NDIO, maana kampeni zimeanza kabla ya wakati!
half minded, kazi ya kutoa lawama tu, kumbuka it is too late to blame now, Soma katiba Inayopendekezwa na achaga porojo zisizo za maana.
Hakuna katiba hapa ...katiba hiyo mtaipigia kura na wake zenu vyumbani
Tanzania hakuna NEC..mwenyekiti mzee anasinzia tu ofisini na anazurura tu kuomba bvr kits nchi jirani..
Tanzania hakuna NEC..mwenyekiti mzee anasinzia tu ofisini na anazurura tu kuomba bvr kits nchi jirani..
Tanzania hakuna NEC..mwenyekiti mzee anasinzia tu ofisini na anazurura tu kuomba bvr kits nchi jirani..
Baada ya Papa, Kadinali ndiye Kiongozi mkuu wa Kanisa la Roman Catholic katika nchi husika, sasa unambishia nini huyo aliyeweka hoja? Kasome CANON LAWS naamini utaelewa juu ya hiko ulichoropoka hapo juu. Kitu kama hujui kuwa mpole kaa kimya ndugu.
Usiwe mchonganishi, kuna mapambano gani hapa. Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) inaendelea na mjukumu yake kwa kuzingatia unyeti wa kazi inayokabiliwa tume hiyo. Wanaendelea na kazi yao kulingana na ratiba yao. Dkt. Asha-Rose Migiro katika hotuba yake wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa taasisi mbalimbali katika ukumbi wa Karimjee, tarehe 16 Machi, 2015 akiwa Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Katiba na Sheria alisema "………..kupitia kwenu na hadhara hii, ninawaomba wananchi wajitokeze kwa wingi katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura linaloendelea ili watumie haki yao ya kidemokrasia ya kupiga Kura ya Maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa muda utakapowadia"
Mwache atimize majukumu yake, asingegawa nakala hizo si ungelalamika hazipo na wala walemavu hawakupata? Sasa wamepata, unaleta hoja isiyo na mashiko usiwachonganishe Watanzania. Acha hiyo tabia sii ya kiungwana.
Acha uongo wewe. Vipi nchi ambayo ina zaidi ya kadinali mmoja?? Vipi nchi ambayo haina kadinali??Baada ya Papa, Kadinali ndiye Kiongozi mkuu wa Kanisa la Roman Catholic katika nchi husika, sasa unambishia nini huyo aliyeweka hoja? Kasome CANON LAWS naamini utaelewa juu ya hiko ulichoropoka hapo juu. Kitu kama hujui kuwa mpole kaa kimya ndugu.
Hakuna katiba hapa ...katiba hiyo mtaipigia kura na wake zenu vyumbani
Du!!
Kazi ipo.
Usiogope, refa ni mimi na wewe. Soma Katiba Inayopendekezwa, jiandikishe ili muda ukifika upige kura kwa ajili ya hatima ya taifa letu.
kuogopa na mie huwa hakukutani kabisa!
Ila na wewe pokea ushauri wa kupitia katiba 'pendekezwa' na kama umeielewa usiwe mchoyo humu