President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
vita baina ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) na Baraza la Maaskofu (TEC) vimepamba moto huku baadhi ya wajumbe wa NEC-CCM (Sitta na Migiro) wakiingia ulingoni dhidi ya TEC.
Angalizo; haya mapambano yasiyo na refa yakiendelea na kusambaa zaidi yataleta athari kubwa kwa taifa letu (labda JK aingilie kati kuamua mshindi), na mwisho wa siku wananchi wanaachwa njia panda waipigie katiba inayopendekezwa kura ya HAPANA au ya NDIO, maana kampeni zimeanza kabla ya wakati!