Vita vya panzi furaha ya kunguru

Vita vya panzi furaha ya kunguru

kuna panzi wanadundana mahali.....?.....na ulipotea sana wewe......
 
mmh da sophy nahisi kuna mahali wanadundana kwa sababu yako, huku wewe ukishangilia
 
Umewagombanisha mtu na mumewe au nini maana sentensi haijakamilika
 
kama nimekuelewa Sophy ni kwamba watu wanagombanisha ndoa za watu au mahusiano ya watu hata familia tu na ndugu te,then mnapokua mnagomba hamuelewani wao wanafurahi au???
 
da sophy welukamu baki, naona umekuja na stail ya status za kwenye FB
 
Back
Top Bottom