(you're) damned if you do and damned if you don't.Na, je hakuna madhara yoyote kwa kutochagua upande wowote?
Umesema vyema kesho tutaenda kuomba mafuta kokoteMaskini hua hana ubavu wa kuchagua upande.
😄😄 Naunga hoja mkono mkuu.Umesema vyema kesho tutaenda kuomba mafuta kokote
Tanzania siasa zake kimataifa ni kutoegemea upande wote, Sisi kama Taifa wote tunashirikiana ila mwenye nguvu ndio tutashirikiana nae zaidi.Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa.
Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna wananchi mitaani wanasema ndio ni bora Urusi awabe adhabu watu wa Ukraine na washirika wake, na wengine wanaona Russia ni mkorofi huku wakiitetea Ukraine pamoja na washirika wake.
Swali ni: Je, sisi kama nchi ni lazima kuchagua upande? Na tukikaa kimya ni sahihi?
Ni Bora kuchagua upande wa mtetezi wa dunia kwani mabeberu wa ulaya na America wanaona ndio wamiliki wa dunia na wanaweza fanya vyovyote watakavyo.Ila mara hii hawaamini macho yao kwani Mwamba anawagaragaza,tangu waingereza,waitalia, wamarekani na eu wao,hutaki shuhudia menyewe Kwa macho na masikio Yako🤔Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa.