Wewe Hali kuwa mbaya urusi umesikia wapi?Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev
Je putin huenda akajiuulu
Wewe upo dunia gani?Wewe Hali kuwa mbaya urusi umesikia wapi?
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev
Je putin huenda akajiuulu
Putin kakosea Sana kuishambulia Ukraine na ndio mwisho wake ,Hii Vita lazma iondoke na viti vya watuSasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev
Je putin huenda akajiuulu
*111#Kupata vichekesho kama hivi kutoka kwa mashabiki wa NATO tubonyeze ngapi?
Hakuna kitu Kama icho Putin ana mwisho na Kim kiduku ana mwishoGorbachev aliamini ndani Urusi nzima kuna mbadala wake, Putin aamini ikiwa kuna mbadala wake ndani ya Urusi.
moja ya Ma- Orgachi ambaye mali zake zimetaifishwa alinukuliwa akisema:, mataifa ya magharibi yanatuonea bure hawaijui nguvu inayoendesha Kremlin.
hii inatoa picha kwamba putin ndiye konda na ndiye dereva.
Uchumi wa Urusi unamilikiwa na familia ya Putin.Gorbachev aliamini ndani Urusi nzima kuna mbadala wake, Putin aamini ikiwa kuna mbadala wake ndani ya Urusi.
moja ya Ma- Orgachi ambaye mali zake zimetaifishwa alinukuliwa akisema:, mataifa ya magharibi yanatuonea bure hawaijui nguvu inayoendesha Kremlin.
hii inatoa picha kwamba putin ndiye konda na ndiye dereva.
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev
Je putin huenda akajiuulu
Wewe Hali kuwa mbaya urusi umesikia wapi?
Ukraine ni nchi ndogo?hapo bado wanasaidiwa na NATONchi ndogo(Ukraine) wamepigana mwezi mzima? Mrusi(Putin) kafeli.
Wewe Nani kakuambia urusi Hali ni mbaya?wale wanavyakula vya kutosha,mafuta sasa mnaposema hali ni Mbaya kivipi yaani.Hali ni mbaya ulaya Kwa Sababu mafuta bei juu,chakula shida.Wewe upo dunia gani?
Source BBCUrusi itaibuka kutoka vita hivi ikiwa dhaifu na itajutia uamuzi huo.
Urusi itajutia uamuzi wake wa kuishambulia Ukraine, Waziri wa Ulinzi wa Marekani anayehusika na masuala ya sera, Colin Kahl aliwaambia waandishi wa habari katika kikao fupi siku ya Alhamisi.
"Nadhani kwa uhakika wa hali ya juu kwamba Urusi itaibuka kutoka Ukraine dhaifu kuliko ilivyoingia kwenye mzozo," alisema.
"Itakuwa dhaifu kijeshi, dhaifu kiuchumi, dhaifu kisiasa na dhaifu kijiografia, na kutengwa zaidi."
Aliongeza kuwa Warusi wanakosa makombora ya usahihi kutokana na mzozo huo wa mwezi mzima.
Kahl pia alisema kwamba tathmini ya mkakati ujao wa Marekani itaitangaza Urusi kama "tishio kubwa", lakini akaongeza kuwa nchi hiyo haileti changamoto ya muda mrefu kwa Marekani kama China.
Source:
Bloomberg, Bbc
Ukraine ni nchi ndogo?hapo bado wanasaidiwa na NATO