Vita vya yom-kippur kati ya Israel na waarabu 1973-1

kipimo cha ushindi wa vita yeyote ile duniani ni kumshinda adui yako yaani yule aliyeshika siraha na sio kuua raia,kama utaangalia bila ushabiki wowote ule israel imeshindwa vita,imeuwa raia wengi kuliko adui na hamas wameua adui wengi kuliko raia sasa hadi hapo mshindi anaonekana ni hamas tu ndio maana israel haijiamini hadi sasa,
 

Hivi Hamas ameua adui wangapi mkuu?
 

Kwa faida ya wote maluzia kwa kuwaelewesha watu ya kua siku inayoitwa YOM KIPPUR ni sikukuu inayoazimisha kuhani mkuu anaingia patakatifu pa patakatifu,ni siku inayoazimishwa kule Israel mpaka leo,na siku hiyo inapofika nchi nzima hua inakaa kimya na hakuna shughuli yoyote inayoendelea hata vituo vya redio,lakini ikitokea wakavamiwa na maadui hua ibada zote zinastop na yanasomwa majina ya wanajeshi wapiganaji wanasimama na wanaombewa kisha wanaenda vitani,kimsingi nchi hii ya Israel kila myahudi hua ana wito wa kua askali.SAMAHANI MTOA MADA KAMA NIMEKUINGILIA,hii ni kwa sababu hua napenda kujua histolia ya ISRAEL
 
HAMAS ni kundi la kigaidi ndiyo maana hata Uniform hawavai si kwa sababu hawana la ila kwa sababu waweze kujichanganya na raia hata kama ukimuua watu waseme ni raia kumbe alikuwa askari,Hamas kwa ugaidi wake alikuwa anawaambia raia kutotoka katika maeneo yaliyokuwa yanalengwa na Israel kwa lugha nyingine Hamas iliwafanya raia wa kuwa KINGA yaani wao wapone lakini raia wapoteze maisha ili tu aweze kupata HURUMA toka jumuia za kimataifa,Bahati nzuri jumuia hizo zilishaona Hamas ana mtindo huo ndiyo maana zilikaa kimya pamoja na kwamba Hamas walipiga kelele kulalamikia raia kuuwawa na majeshi ya Israel.Israel kwa upande wake ilionyesha ukomavu katika vita hii ya Gaza maana ilitoa taarifa kama walitaka kushambulia eneo fulani basi raia wa eneo hilo walitaarifiwa kwa njia ya Simu SMS na voice mail na wengine ambao hawakuwa na vifaa kama simu waliweza kupewa vipeperushi vilitawanywa eneo lote na kila mtu alipata taarifa lakini kwa kuwa Hamas ilikuwa na kiu ya Damu ya raia wa Palestina iliamua kuwakataza wastoke katika maeneo yao na majengo hayo yalipopigwa raia wasiokuwa na hatia waliuwawa na Hamas kuanza kutafuta umaarufu kisiasa,Kuhusu kushindwa vita Israel ndye Mshindi halali maana ameweza kuharibu miundo mbinu ya adui(Tunnels)ambazo Hamas ilitumia kuzijenga zaidi ya miaka mitatu leo zinabomolewa kwa siku kadhaa tu,Pili Israel iliweza kuwalenga wakuu wa majeshi ya Hamas na kuwauwa na kwa kuwa lengo la vita hiyo lilifikiwa basi Israel ni MSHINDI.Hamas wameshindwa kwenye Medani zote Kwamza Hamas wameshindwa kwenye uwanja wa vita ndiyo maana walikuwa wanajificha kati ya Raia hivyo kusababisha raia wengi kupoteza maisha yao kwa ajili yao,na pia walikuwa wanatumia vituo vya Umoja wa mataifa na UNRWA kurusha makombora yao kisa kilichasababisha Majeshi ya Israel kujibu mapigo toka source of rockets na kusananisha raia wengi kupoteza maisha yao.Kwenye Medani ya Diplomasia Hamas ilishindwa kuelezea ulimwengu nani aliyewateka wale vijana wa kiyahudi na baadaye kukutwa wameuwawa kinyama kisa kilichopelekea Operation Protective Edge na kusababisha watu zaidi ya 2,000 kupoteza maisha yao.Kwa upande wa umoja wa mataifa na jumuia zake walipatwa na kigugumizi walibaki wameduwaa wasitoe tuhuma zozote kwa Israel maana mchokozi alionekana wazi,Hata nchi za kiarabu ilibidi wanyamaze kimya hawakuweza kuunga mkono vitendo vya Hamas kuwafanyia wananchi wa Palestina,Kwa upande wa PR yaani mahusiano ya jamii Hamas baada ya vita hiyo ilianza kampeni ya kuua raia wake kwa kisingizio cha usaliti watu wengi waliuwawa kinyama kwa kuhisiwa tu kuwa waliwapa siri majeshi ya Israel hata wale vibarua walioluwa wanatengeneza yale Mahandaki hawakuweza kupona nao waliuliwa kwa kisingizio cha usaliti.Kwa upande wa makubaliano ya kusimamisha mapigani Hamas haikupata chochote maana Hamas wao walitaka Airport,Bandari na Kuondolewa vikwazo vyote kuzunguka Gaza,na kulipwa mishahara wafanyakazi wote wa Hamas na Israel yote hayo hawakupata kwa hiyo mshindi ni ISRAEL na aliyeshindwa ni HAMAS kitendo cha kusherehekea ushindi ni kuwazuga wananchi wa Palestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…