Hii imesaidia sana matusi kupunguzwa kwenye ule mtandao,looh!!maisha ya mtu watu wanataka wapange,sio kwa zari tu hata kwa wema na kila msanii,nimefurahi kabisa,waache kumpost na kila mtu apost mambo yake.
a zarei anavopenda kupostiwa atatuma tena video ya ngono ili ajadiliweSijui kama mgomo wao una uhai naona wameanza kusalitiana
hahahahaSijui kama mgomo wao una uhai naona wameanza kusalitiana
Na hiii post yako inasaidiaje katika uboreshaji wa maisha ya mtanzania?Hii inasaidiaje katika uboreshaji wa maisha ya mtanzania...?