Vita vya Zarithebosslady havijawahi kumuacha mtu salama

Vita vya Zarithebosslady havijawahi kumuacha mtu salama

Hii imesaidia sana matusi kupunguzwa kwenye ule mtandao,looh!!maisha ya mtu watu wanataka wapange,sio kwa zari tu hata kwa wema na kila msanii,nimefurahi kabisa,waache kumpost na kila mtu apost mambo yake.
 
Kweli saiv shwari kabisa,ile janja janja ya kutukana mtu ili kujipatia followers kwishney.

Page za kutukana saiv busy kupost habari na siasa kwa sana,matangazo ya kutosha
Hii imesaidia sana matusi kupunguzwa kwenye ule mtandao,looh!!maisha ya mtu watu wanataka wapange,sio kwa zari tu hata kwa wema na kila msanii,nimefurahi kabisa,waache kumpost na kila mtu apost mambo yake.
 
Sijui kama mgomo wao una uhai naona wameanza kusalitiana
 
Kama huo ndo ulikuwa ujumbe kwa mlengwa basi ujinga umemzidi maana hivyo vichupi alianza navyoo tena akivisifia leo ndo vimenuka??

Kalee watoto wa watu utulie.
 
Uongozi wa JF ulikua na akili sana kuleta forums tofauti tofauti maana walijua kuna wambea wambea pia awatakosekana.
 
辭世你們了瑟你的我想起伏擊球場所說

Mimi tu ndio nishashindwa kufuatilia huu upuuzi wa IG
 
Naona wameanza kupambana na hali zao...........
 
12093482_688949354582069_786711349_n.jpg

Hii inasaidiaje katika uboreshaji wa maisha ya mtanzania...?
 
Back
Top Bottom