Vita ya Aleppo inaanza tena

Wanataka wenyewe kwakuwa wanamkataa mjumbe wa YESU(MUNGU) anayeitwa NETANYAHU awaletee Amani
 
Kwani wakuu nyie mnafatilia media gani? Una uhakika urusi kadorola huko Ukrainr?.

Week hii mwanzon kama sio week iliopita mwishoni, nilikuwa nacheki al jazeera, ... nikasikia kwamba mapigano katika Kursk yanazidi kuwa tafu kwa Ukraine na washirika wake , ipatayo asilimia 40 ya maeneo yaliyotekwa na Ukrein pale kursk yameshatwaliwa tena na urusi na hali inazidi kuwa tete, LAKINI pia huko mashariki mwa ukrein ,urusi anazidi kusonga kwa kasi.
 
ni sawa, ila marekani ukatoliki si mwingi kivile ndio maana katoliki haipendi sana marekani huwa inaona inaharibu dhehebu lao kwa kueneza madhehebu yasiyo ya kikatoliki. Wakatoliki wanaona kama wanahujumiwa. Mind kuwa kuna othodox ya mashariki na ya magharibi, hao ukraine huenda wamejiunga na ya magharibi.
 
Ukilipwa unaua ndugu zako ?
Tumia akil kdg tu utaelewa
Unaijua vizuri siasa ya middle east? Please kabla hatujaanza midahalo em nenda kwanza kajifunze uko mitandaoni at least ujue baadhi ya key issues vinginevyo unaajenda yako please be well informed before engaging! Itakupunguzia kutokuelewa vitu vingi kama nia ni kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…