Vita ya Aleppo inaanza tena

Waislamu wanapenda sn kuisifia Russia wamesahau jinsi alivyowashushia kichapo Waislamu wa Chechniya.. yanayofanyika Ukraine yana tofauti gani na yaliyofanyika Chechniya ?
Put in tukiwa kama waislam tunamsifia sana kwa kuipinga lgbtq hata wewe ukiupinga tutakusifia na sio wewe tu hata marekani na shoga zake mtu akae asapoti wewe kufirwa au kufirana halafu tukae tuwasifie ukiwapenda wewe Inatosha
 
Waafrika na wazungu umewasahau hakuna race yenye akili basi kwasasa maana hakuna race itayoitaja ukute kwao kumetulia ingawaje waarabu wamezidi ukilaza ila acha kuwahusisha waarabu na uislam
 
Utafika tu wakati Americant ataiona israhell takataka tuuuu
 
Israel ujanja mwingi mbele kiza Arab spring waliratibu wao wakidhani wakishawatawanya nchi za kiarabu wataishi kwa amani lakini leo bado wapo matatizoni
Na kupata amani wale waisahau
 
Mmarekani na washirika wake na Israel nitatizo sana hapo middle east , ukiangalia hizi tragedies ,ni as if hawataki pawepo amani hilo eneo
Syria hawajishikwa mikono na miguu wakaambiwa wakapigane...

Sababu ya wao kupigana ni waamini Washia ni makafiri na Wasunni ni Makafiri hao wote Wanapigana wengine ni ndugu kabisa wa Damu,. kama wanaweza kupelekeshwa Hadi kuuana hivyo basi ni Wajinga
 
Kama ukisema hivi hakuna nchi duniani ambayo hakuna kakikundi kanataka kujitenga au tuanze kuorodhesha baadhi Canada kule cubec wanataka eneo lao marekani kule kuna majimbo kibao yanataka kujitenga Spain katalunya UK kuna kina Ireland pale German kuna kule German mashariki yaani hakuna hakuna hakuna nchi ambayo baadhi ya watu hawataki kujitenga kama ipo itaje
 
Najua Russia kamwe hataiacha Syria ila ni shughuli pevu kwake ukizingatia uchovu alionao atakuwa amejiongezeamzigo wa frontline nyingine tena mpya.
Russia ipo vitani miaka na miaka mzee hili nisuala dogo sana kwake ngoja uone Russia akipiga pale Syria hapigi kama anavyo piga Ukraine Jana na leo tu kuna maeneo Aleppo yashafanana na ukanda wa Ghaza 😒
 
Mbona Assad kakimbilia urusi basi hakubaki pale Syria kupigania nchi yake kama Zelensky wa Ukraine., utawala unaanguka mkuu huo, Assad anaifanya syria kama mali yake wacha nchi yao ikomboke
Assad hajakimbia nchi acha kupotosha alienda kwenye ziara ya kikazi kama anavyo fanya Elensky nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…