Vita ya Aleppo inaanza tena

Vita ya Aleppo inaanza tena

Israel na US na Turkey hao ndio wanataka kumtoa Assad. Afu huyo Tayyip Erdogan anakuambia Shetanyahu ni mshenzi huku kwa nyuma wako pamoja. Yote ili Assad asimamishe kupeleka silaha Lebanon. Yule Erdoğan yeyetarget yake aimeze Halab au kama ijulikanavyo Aleppo
Turkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk
 
Hahaha sasa hapo mwenye chuki nani, mimi au wewe? Matusi unatukana wewe, halafu unasema mimi ndiye nina chuki! Mjukuu wa mudi acha hasira, tafuta suluhu ya mgogoro, tusije shika majambia msikitini.
Huna akili.
 
Netanyahu anaingiaje katika hili, wanaopiga Syria kumtoa Assad ni wanajeshi watiifu wa makundi ya kiislam ambao miaka mingi mpango wao ni kumtoa Assad madarakani dictator, na hao upinzani wakifanikiwa kuchukua nchi utakuta ni wale wale wanaumwa ni damu ya Wapalestine na Gaza sasa kama shida ni kufunga njia, njia itafunguka zaidi kama kweli Syria ndio gat away ya silaha kutoka Iran kwa hizbollah
Rudia Tena kutafuta taarifa ujue netanyau na US wanachokifanya Syria, pia netanyau kavamia maeneo mengi ya hzb ndani ya Syria kudestroy silaha
 
Turkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk
Russia anashusha kipigo huko!

Video ukiziona ni za kutisha!

Muda si mrefu utasikia makelele kuwa Russia hafuati haki za binadamu.
 
Netanyahu anaingiaje katika hili, wanaopiga Syria kumtoa Assad ni wanajeshi watiifu wa makundi ya kiislam ambao miaka mingi mpango wao ni kumtoa Assad madarakani dictator, na hao upinzani wakifanikiwa kuchukua nchi utakuta ni wale wale wanaumwa ni damu ya Wapalestine na Gaza sasa kama shida ni kufunga njia, njia itafunguka zaidi kama kweli Syria ndio gat away ya silaha kutoka Iran kwa hizbollah
Haiwezi kufunguka njia kwasababu US na Zayuni wanaweka vibaraka wao ambao kwao watachota mafuta na wataidhibit Lebanon Hasa hizb
 
Russia anashusha kipigo huko!

Video ukiziona ni za kutisha!

Muda si mrefu utasikia makelele kuwa Russia hafuati haki za binadamu.
Awakung'ute bila huruma mpaka waishe kama sisimizi hawa wapuuzi , wanaharibu hiyo nchi , nchi ilikuwa ishaanza kutulia wao wanatibua tena , Ukiangalia maafa waliosababisha wao na ISIS kipindi kile cha vita ,na ni hawa hawa wajenzi Israel ,Turkey na Marekani ndio waliokuwa supporters wa hivi vikundi vya uasi na ugaidi +ISIS huko Allepo na maeneo mengine ndani ya Syria .
Mpaka leo kuna indications na evidences za magaidi wa ISIs kuwa walipitia Uturuki kuingia Syria na Iraq kipindi kile na Intelligence za Uturuki zilijua hili na kuruhusu makusudi hayo kutokea .
Erdogan ni mbwa yule ,
 
Russia imeshasema Uturuki imekiuka makubaliano yaliyokuwa baina ya Syria na Turkey, hivyo Syria ina haki ya kutumia kila aina ya silaha na njia ya aina yoyote kuwamaliza hawa magaidi.

Kuanzia jana mpaka leo magaidi taribani 300 wameshakwenda na maji.

Inaonekana waliingia wengi sana!
 
Kwanza mkuu hawa wanajeshi wa upinzani si Jeshi la waasi kama unavyoliita hawa ni wanajeshi watiifu wanapigania nchi yao ambayo Assad ameifanya kama ni yakwake binafsi, Syria ni wa Syria sio ya mtu 1, Assad hataki kuondoka madarakani toka alipokabidhi kutoka kwa baba yake.

Urusi huwa anapenda kuwapiganiwa viongozi wenzake ambao wanatabia kama zake kungangania madaraka, Assad ni dictator wacha Wasyria wapiganie nchi yao. na sisi huko kwetu muda utafika tu
kwa Gaddafi mlisema hivyo hivyo,Libya ya leo imefika wapi?Rasilimali za Libya zinachotwa na hao hao waliowachonganisha!Hata huko Syria,US anajichotea tu mafuta!US hataki vita iishe Syria!
 
Many people do not understand what events in Georgia and Syria could mean for Ukraine. Firstly, a second front has been opened in Syria against the Russians, and the Russians are dying there too. This is good for us, the more they die, the better for Ukrainians and the West. The old man in the bunker Putin has already promised help, both in soldiers and equipment, the more he spends millions of dollars in Georgia and Syria, the less he has to attack Ukraine. And third, Putin is losing influence in the global South, where his positions were once very strong.- BLOOMBERG
Hizi story toka SMO inaanza tumeshazisikia sana ila mwisho wa siku ni bure!
Muda ni mwalimu mzuri!
 
Russia imeshasema Uturuki imekiuka makubaliano yaliyokuwa baina ya Syria na Turkey, hivyo Syria ina haki ya kutumia kila aina ya silaha na njia ya aina yoyote kuwamaliza hawa magaidi.

Kuanzia jana mpaka leo magaidi taribani 300 wameshakwenda na maji.

Inaonekana waliingia wengi sana!
Itakuwa kweli ,maana siku zote Uturuki imekuwa njia ya kupitisha mercenaries kwenda kufanya machafuko Iraq na Syria ,
 
Israel inahusika pia sana katika hili , inakuwaje IDF wafanye mashambulizi Aleppo na Idlib dhidi ya vikosi vya Resistance vya kishia na jeshi la Syria halafu harakati za uasi zianzie hapo hapo kwenye hiyo miji ?.
Hii ilifanyika tarehe 9 Nov kabla ya uasi huu kuanza ,inaonekana Israel ni coordinator WA huu ufedhuli ,kama alivyokuwa anatibu magaidi wa ISIs kwenye hospitali zake baada ya kupewa kipondo kikali na Asad enzi zile za vita vya Syria
 
Back
Top Bottom