Umekosea kuuliza swali, iltakiwa kua kwanini waarabu? Na Kuna waafrika pia wanagombanishwa, Kuna korrea pia waligombanishwa, kwahio kugombana ni suala la maslahi Hasa katika uongozi au maliSijui lakini ila najiulizaga hivi; Islam ndugu yale Islam now how comes sijui Zayuni, USA or Russian ambao (kwa mujibu wa Waislamu wengi humu ) ni makafiri wawagombanishe na nyie mkagombana? Asie na akili hapo ni NANI? Sina ugomvi na mtu, nauliza tu
Hio Ngoma mbele ya Russia na Iran hawezi aende Gaza Kwa wenye maroketi tuHata uko Syria wakileta ngebe IDF inaend kumchukua Assad Damascus
Kutoka mpaka wa Israel na Damascuss in KM 50 kwa maana nyingine ni kutoka Posta na Chanika, hapo Israel inatumia sasa Mizinga mizito mizito
Tunajua Korea ni Wapagani, maeneo mengine wana dini nyingi. Africa hapa mnalaumu Al shaabab na Boko haram, hivo pia ni vikundi vinavyo tumia itikadi za Kiislamu na bahati mbaya vinafanya fujo maeneo yenye Waislamu wengi, Somalia is like an Islamic country, maanake kule Muislam akibadiri dini kwenda Ukristo anauawa kabisa, mfano ni sheikh Adam Haji nk. Congo walau unaelewa, wanatumia nchi nyingine yaani Rwanda. Sasa Syria, Libya nk si ni Waislamu watupu? Halafu Waarabu wanaongea lugha moja wote. How Shia na Sunni lawama wapewe mataifa ya Kizungu? Swali langu linabaki pale pale, nani mjinga hapo sasa, mchonganishi au aliyekubali wenyewe kwa wenyewe wachonganishane? Nieleweshe nielewe please.Umekosea kuuliza swali, iltakiwa kua kwanini waarabu? Na Kuna waafrika pia wanagombanishwa, Kuna korrea pia waligombanishwa, kwahio kugombana ni suala la maslahi Hasa katika uongozi au mali
Experience kapatia wap?Hahaha endelea kuota , Kenya anakuzid Kila kitu ubora na experience
Binadamu ni binadamu TU, kati yetu waislam wapo wa motoni na peponi sababu zenyewe ndio Kama hizi Quran 2:2-... Kitabu ambacho ni muongozo Kwa wamchao Mwenyezi Mungu. Na katka matatizo makubwa aliyokumbana nayo Mtume ni unafiki wa waarabu. Wanazungakana kishenzi, pia wasomali ukiwaangalia wan relate sna na waarabu, kwahio unafiki wa kuuzana ni tabia ya mtu Hata Yesu aliuzwa kwaajili ya pesa. Huo ni ujinaga wao waarabu kukubali kuugawa Uislam katka makundi makuu ma2 Shia na Sunni, halafu na vijikundi vingine vingi kutoka humo. Lakin Quran Iko wazi Sana na haifungani na wanayofanya waarabu au mtu awaye yeyote shida inakuja kwenye uelewa wa kitabu chenyeweTunajua Korea ni Wapagani, maeneo mengine wana dini nyingi. Africa hapa mnalaumu Al shaabab na Boko haram, hivo pia ni vikundi vinavyo tumia itikadi za Kiislamu na bahati mbaya vinafanya fujo maeneo yenye Waislamu wengi, Somalia is like an Islamic country, maanake kule Muislam akibadiri dini kwenda Ukristo anauawa kabisa, mfano ni sheikh Adam Haji nk. Congo walau unaelewa, wanatumia nchi nyingine yaani Rwanda. Sasa Syria, Libya nk si ni Waislamu watupu? Halafu Waarabu wanaongea lugha moja wote. How Shia na Sunni lawama wapewe mataifa ya Kizungu? Swali langu linabaki pale pale, nani mjinga hapo sasa, mchonganishi au aliyekubali wenyewe kwa wenyewe wachonganishane? Nieleweshe nielewe please.
Tuna tofautiana kidogo mtazamo; mimi sijawalenga Waarabu kama taifa, sio waarabu wote ni Waislamu, wapo Waarabu Wakristo tena wengi tu, mfano aliyekua waziri wa mambo ya nje wa Iraq ya Saddam Hussein bwana Tareq Aziz, yule bwana alikua Mkristo, mke wa aliyekua rais wa PLO bwana Yasra Araffat alikua Mkristo. Mimi nawazungumzia Waislamu na Uislamu bila kujali taifa, Boko Haram wa Nigeria, pale hakuna Mwarabu, lakini kina Abubakari Shakur ni blacks from Nigeria na kabila lake linajulikana, wale wa Msumbiji as well wote hao ni Waislamu now swali langu linakuja? Kama kweli vikundi hivi vyote vilianzishwa na USA, Russia or Zayuni (kwa maneno yako wewe mwenyewe ) halafu hao "makafiri" wakawatumia Waislamu wenye msimamo mkali ili kuua Waislamu wenzao, hapo mpumbavu ni nani? Mshawishi au mshawishiwa? Unakumbuka hata enzi za JPM kule MKIRU yaani Rufiji, Kilwa na hiyo M naisahau kidogo, kile kikundi na chenyewe kilikua cha Kiislam na kilikua kina operate maeneo yenye Waislamu wengi; hili nalo vipi?Binadamu ni binadamu TU, kati yetu waislam wapo wa motoni na peponi sababu zenyewe ndio Kama hizi Quran 2:2-... Kitabu ambacho ni muongozo Kwa wamchao Mwenyezi Mungu. Na katka matatizo makubwa aliyokumbana nayo Mtume ni unafiki wa waarabu. Wanazungakana kishenzi, pia wasomali ukiwaangalia wan relate sna na waarabu, kwahio unafiki wa kuuzana ni tabia ya mtu Hata Yesu aliuzwa kwaajili ya pesa. Huo ni ujinaga wao waarabu kukubali kuugawa Uislam katka makundi makuu ma2 Shia na Sunni, halafu na vijikundi vingine vingi kutoka humo. Lakin Quran Iko wazi Sana na haifungani na wanayofanya waarabu au mtu awaye yeyote shida inakuja kwenye uelewa wa kitabu chenyewe
Acha nihabarishe watuHuu uzi umempata kp kipanya44 mwingine, ambae ni Baltasar Ebang Engonga ππ
Toka lini IDF akawaweza Hizbollah na Iran kwenye ground operations?Kama ni Wairan wakikutana na Hezbollah tu IDF anakula vichwa
Thubutuu labda kama Iran revolutionary guards wawe wamekufa wote hapo Damascus.Hata uko Syria wakileta ngebe IDF inaend kumchukua Assad Damascus
Kutoka mpaka wa Israel na Damascuss in KM 50 kwa maana nyingine ni kutoka Posta na Chanika, hapo Israel inatumia sasa Mizinga mizito mizito
Usizunguke sana mjinga ni anayegombanishwa (mwarabu).Tunajua Korea ni Wapagani, maeneo mengine wana dini nyingi. Africa hapa mnalaumu Al shaabab na Boko haram, hivo pia ni vikundi vinavyo tumia itikadi za Kiislamu na bahati mbaya vinafanya fujo maeneo yenye Waislamu wengi, Somalia is like an Islamic country, maanake kule Muislam akibadiri dini kwenda Ukristo anauawa kabisa, mfano ni sheikh Adam Haji nk. Congo walau unaelewa, wanatumia nchi nyingine yaani Rwanda. Sasa Syria, Libya nk si ni Waislamu watupu? Halafu Waarabu wanaongea lugha moja wote. How Shia na Sunni lawama wapewe mataifa ya Kizungu? Swali langu linabaki pale pale, nani mjinga hapo sasa, mchonganishi au aliyekubali wenyewe kwa wenyewe wachonganishane? Nieleweshe nielewe please.
Hili kaka nakumbuka tuliwahi kulizungumza shida ni umezeshwaji wa itikadi.Tuna tofautiana kidogo mtazamo; mimi sijawalenga Waarabu kama taifa, sio waarabu wote ni Waislamu, wapo Waarabu Wakristo tena wengi tu, mfano aliyekua waziri wa mambo ya nje wa Iraq ya Saddam Hussein bwana Tareq Aziz, yule bwana alikua Mkristo, mke wa aliyekua rais wa PLO bwana Yasra Araffat alikua Mkristo. Mimi nawazungumzia Waislamu na Uislamu bila kujali taifa, Boko Haram wa Nigeria, pale hakuna Mwarabu, lakini kina Abubakari Shakur ni blacks from Nigeria na kabila lake linajulikana, wale wa Msumbiji as well wote hao ni Waislamu now swali langu linakuja? Kama kweli vikundi hivi vyote vilianzishwa na USA, Russia or Zayuni (kwa maneno yako wewe mwenyewe ) halafu hao "makafiri" wakawatumia Waislamu wenye msimamo mkali ili kuua Waislamu wenzao, hapo mpumbavu ni nani? Mshawishi au mshawishiwa? Unakumbuka hata enzi za JPM kule MKIRU yaani Rufiji, Kilwa na hiyo M naisahau kidogo, kile kikundi na chenyewe kilikua cha Kiislam na kilikua kina operate maeneo yenye Waislamu wengi; hili nalo vipi?
Ni kweli lakini hayajakombolewa i.e. Hayarudishwa kwa bwana Assad.Russia ipo vitani miaka na miaka mzee hili nisuala dogo sana kwake ngoja uone Russia akipiga pale Syria hapigi kama anavyo piga Ukraine Jana na leo tu kuna maeneo Aleppo yashafanana na ukanda wa Ghaza π’
Kikazi lakini russia? wakati huku nchi yake ina vita? amekimbia wacha kutafuna manenoAssad hajakimbia nchi acha kupotosha alienda kwenye ziara ya kikazi kama anavyo fanya Elensky nk