Tuna tofautiana kidogo mtazamo; mimi sijawalenga Waarabu kama taifa, sio waarabu wote ni Waislamu, wapo Waarabu Wakristo tena wengi tu, mfano aliyekua waziri wa mambo ya nje wa Iraq ya Saddam Hussein bwana Tareq Aziz, yule bwana alikua Mkristo, mke wa aliyekua rais wa PLO bwana Yasra Araffat alikua Mkristo. Mimi nawazungumzia Waislamu na Uislamu bila kujali taifa, Boko Haram wa Nigeria, pale hakuna Mwarabu, lakini kina Abubakari Shakur ni blacks from Nigeria na kabila lake linajulikana, wale wa Msumbiji as well wote hao ni Waislamu now swali langu linakuja? Kama kweli vikundi hivi vyote vilianzishwa na USA, Russia or Zayuni (kwa maneno yako wewe mwenyewe ) halafu hao "makafiri" wakawatumia Waislamu wenye msimamo mkali ili kuua Waislamu wenzao, hapo mpumbavu ni nani? Mshawishi au mshawishiwa? Unakumbuka hata enzi za JPM kule MKIRU yaani Rufiji, Kilwa na hiyo M naisahau kidogo, kile kikundi na chenyewe kilikua cha Kiislam na kilikua kina operate maeneo yenye Waislamu wengi; hili nalo vipi?