Vita ya Aleppo inaanza tena

Japo apo umesema kweli. IRAN TO IRAQ × SYRIA TO LEBANON iyo kweli na Iran na russia kamwe kamwe kamwe awawezi kukubali utawala wa Asad uanguke apo SYRIA moto wake utakaowashwa sio wakitoto na wala awatoweza kufikia uzibiti kama ule kwanza.
Urusi hawezi peleka wanajeshi wake huko, kwasasa Putin anauhitaji mkubwa wa wanajeshi kwenye vita vyake na Ukraine kuliko wakati mwingine, na hata ikitokea atapelekwa wachache sanaa,
 
Jumanne netanyahu alisema Syria inacheza na moto,jumatano isis wakaanzisha mashambulizi syria, israel na mabwana zake wanataka kukata supply route ya silaha toka Iran kwa hizbullah
 
Jumanne netanyahu alisema Syria inacheza na moto,jumatano isis wakaanzisha mashambulizi syria, israel na mabwana zake wanataka kukata supply route ya silaha toka Iran kwa hizbullah
Netanyahu bado ana hillusion kuwa bado a ananguvu ..siku usa akiona mambo yanazidi kuwa mazito na uchumi unaenda mrama isreli ataachwa hapo ..ukrain pekee imeshaakula resilimali za kutosha za usa na sioni jinsi ya kuzirudisha.netanyahu anafanya hivyo kwa kuwa anajua lazima usa atambackup mambo hayawezi kuwa hivyo kila siku
 
Mwenye vita yake kashaingia turamp, putin kazi anayo, kule ukraine ulimi nje, haya tena limezuka jingine, lazima aombe arushiwe taulo safari hii
 
— ❗️🇮🇱/🇸🇾 BREAKING: Dozens of wireless communications devices including pagers and walkie-talkies have exploded among the Syrian Arab Army!

@Middle_East_Spectator
 
Tafuta press ya 24hrs before cease fire ya Lebanon sio maneno yangu ndugu
hao wanaopigana ni wazayuni ? tumia akil kdg tu kuelewa hoja ya jaaa , siku mkianza kuelekeza vidole sehem husika ndip, middle east itapata amani , mzayuni kukupa silaha sio kigezo ch kuua waislam wenzio
 
Jumanne netanyahu alisema Syria inacheza na moto,jumatano isis wakaanzisha mashambulizi syria, israel na mabwana zake wanataka kukata supply route ya silaha toka Iran kwa hizbullah
isis ni wayaudi ?
 
hao wanaopigana ni wazayuni ? tumia akil kdg tu kuelewa hoja ya jaaa , siku mkianza kuelekeza vidole sehem husika ndip, middle east itapata amani , mzayuni kukupa silaha sio kigezo ch kuua waislam wenzio
Mdusi, mimi nafikiri huo ushauri ni kwaajili yako. Haihitaji kuambiwa na mtu kwamba mzayuni anawalipa hao jamaa, leo kalipua pagers

— ❗️🇮🇱/🇸🇾 BREAKING: Dozens of wireless communications devices including pagers and walkie-talkies have exploded among the Syrian Arab Army!

@Middle_East_Spectator
 
Mkuu Uturuki ndo muhusika mkuu kwa hichi kinacho endelea sasa ,maana waasi anao waunga mkono ndo wahusika wakuu wa mashambulizi yanayo endelea japo kuna makundi mengine madogo.
 
Ukilipwa unaua ndugu zako ?
Tumia akil kdg tu utaelewa
 
Japo apo umesema kweli. IRAN TO IRAQ × SYRIA TO LEBANON iyo kweli na Iran na russia kamwe kamwe kamwe awawezi kukubali utawala wa Asad uanguke apo SYRIA moto wake utakaowashwa sio wakitoto na wala awatoweza kufikia uzibiti kama ule kwanza.
Iran na Russia kweli hawawezi kukubali Utawala wa Assad uanguke lakini hawana jinsi.
1. Kumbuka Russia anamenyana huko kwake na Ukraine -na hali sio poa kwa Russia katika vita hiyo. Hali ni tete kiasi kwamba Russia ameanza kuokoteza au kubangaiza wapiganaji mamluki e.g. Houthis, N.Korea n.k.
2. Kumbuka Juzi kati hapo viwanda vya kutengeneza silaha vya Iran vilishambuliwa na kuharibiwa na (IDF) Israeli. Kwa mantiki hiyo Iran imepungukiwa na uwezo wa Utoaji wa misaada ya Hali na Mali (silaha na mafunzo)kwa makundi ya kigaidi na hivyo uwezo wake kumsaidia Asad pia nao umepungua.
Ni katika mtizamo huo Bwana Asad wa Syria atakuwa na wakati mgumu sana.
 
Ndugu kwani mturuki na Israel ni kitu kimoja?

Si kwamba hao jamaa ni maadui wakubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…