Vita ya Aleppo inaanza tena

4. Waturuki wanaingia Syria kuwapiga wa-kurd
 
Mzayuni ndio kaactivate hio vita baada tu ya cease fire akaamsha makundi yake Assad pale hawamtoi unless Iran na Urusi wachakae kabisa nani wa kufanya hio kazi?
Na Uturuki safari hii kasema ataungana na Urusi
 
Na Uturuki safari hii kasema ataungana na Urusi
Edogan mnafiki sana haeleweki hasira tu hizo tenki yake ya mafuta imetiwa kibiriti na Houth ilikua inaenda Israel kamtishia kuungana na US kule baharini huyo hawezi kuunga Non NATO members wanamtumia watakavyo akina biden
 
Turkey siyo nchi ya kupambana na Underdog Iran.
Turkey anajigamba kwakua yuko NATO ila Iran inabidi aogopwe kwa moto wa vijana wao tu hao hizbo ulivyokuwa kiukweli Wairan waki kuamlia show utakua na mtihani mkubwa like the way anashambulia pitia documentary ya hizb hao ni vijana Wairan na walio watoa kamasi IDF ni sio makomandoo ni first level defence team, IDf hakuivuka ya pili ikua advance ya komandos ndio ya mwisho ni Elite Radwan.
 
Edogan mnafiki sana haeleweki hasira tu hizo tenki yake ya mafuta imetiwa kibiriti na Houth ilikua inaenda Israel kamtishia kuungana na US kule baharini huyo hawezi kuunga Non NATO members wanamtumia watakavyo akina biden
Labda ishu ya wakurd itamfanya aingie ila acha tuone
 
Hapo mashariki ya kati wanajuana naona ndo maana kila nchi imeamua kusimamia interest zake
 
Unajuwa kuwa aliyeiharib nchi ni Assad , Assad aliua mtu kweny maandamano yaliyopelekea Hali kuwa hv ilivyo Leo na bado mnaona ni sahihi Syria kuongozwa ni muuaji
Syria sio nchi ya kwanza kupambana na maandamano au kuuwa waandamaji hata Marekani kwenye maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi kuna waandamaji waliuawa.

Chanzo cha machafuko nchini Syria ni uingiliaji wa nchi za nje.
 
Uturuki imeamua kutumia hii nafasi vyema kuiimarisha nguvu za waasi.
Iran na Urusi walifanya makosa makubwa kumuamini Edorgan ?

Waasi walikuwa wamesha dhohofika kabisa mwaka 2015 na ilikuwa nafasi nzuri ya Asad kulikomboa jimbo la Idiribu ambayo ndo ilikuwa ngome ya mwisho ya waasi,sasa sijui Edorgan alitumia njia gani kuwarubuni viongozi wa Urusi na Iran mpaka wakahairisha mpango ya kulishambulia na kulichukua eneo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…