Vita ya Aleppo inaanza tena

Yaani Russia aiache Syria kisa Ukraine ngojea uone
 
Hapana Mturuki anaugomvi wa miaka mingi na Asad kwasababu wale wanamgambo wa Kurdish wanaotaka kujitenga Uturuki huwa wanajificha Syria.
 
Urusi inapeqa green light kabla yakumalizana naye muoshwa huwoshwa tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…