Vita ya Aleppo inaanza tena

Vita ya Aleppo inaanza tena

Kwahio kukwambia ukweli umeumia basi pole
Hahaha Sanaa, Magaidi mkiambiwa ukweli huwa mnaruka ruka kama mahindi ya bisi kwenye sufuria.

Halafu we mjukuu wa Mudi acha matusi.

Kule Alepo mnauwana wenyewe kwa wenyewe, sasa mtasema nani anaua WANAWAKE na WATOTO?

Mtaandamana kudai haki kwa nani, kutoka wapi?

Hahaha safari hii mmeonyesha umwamba uliopitiliza, MAGAIDI nani ZAIDI show.

Kwa Mtoro, Mtambani kimyaa, au sasa tutarudi BAKWATA sheikh?

Hahahah, kwa sasa mtaomba MAREKANI na EUROPE ziingilie kati kuleta AMANI maana hao pekee ndio wanaweza, UAE wala bata hutawasikia hata wakipokea wakimbizi, na hata chakula cha msaada kitadondoshwa na USA.
 
Kama ukisema hivi hakuna nchi duniani ambayo hakuna kakikundi kanataka kujitenga au tuanze kuorodhesha baadhi Canada kule cubec wanataka eneo lao marekani kule kuna majimbo kibao yanataka kujitenga Spain katalunya UK kuna kina Ireland pale German kuna kule German mashariki yaani hakuna hakuna hakuna nchi ambayo baadhi ya watu hawataki kujitenga kama ipo itaje
Tanzania - Zanzibar
Kenya- Pwani
Nigeria- Biafra
DRC- Kivu ya Banyamulenge
 
Kama ukisema hivi hakuna nchi duniani ambayo hakuna kakikundi kanataka kujitenga au tuanze kuorodhesha baadhi Canada kule cubec wanataka eneo lao marekani kule kuna majimbo kibao yanataka kujitenga Spain katalunya UK kuna kina Ireland pale German kuna kule German mashariki yaani hakuna hakuna hakuna nchi ambayo baadhi ya watu hawataki kujitenga kama ipo itaje
Huko kote ulikosema wana akili timamu ya kukaa chini na kuepusha maafa kwa watoto na wasiohusika.

Angalia hata Israel na namna imeweza kukaa chini na PA ya akina Abbas, hadi mabenki ya Israel yana omba kufanya kazi na Wapalestina.

Makobazi wa Syria wanaharibu hadi vituo vya utalii
 
Mzayuni ndio kaactivate hio vita baada tu ya cease fire akaamsha makundi yake Assad pale hawamtoi unless Iran na Urusi wachakae kabisa nani wa kufanya hio kazi?
Sijui lakini ila najiulizaga hivi; Islam ndugu yale Islam now how comes sijui Zayuni, USA or Russian ambao (kwa mujibu wa Waislamu wengi humu ) ni makafiri wawagombanishe na nyie mkagombana? Asie na akili hapo ni NANI? Sina ugomvi na mtu, nauliza tu
 
Huko kote ulikosema wana akili timamu ya kukaa chini na kuepusha maafa kwa watoto na wasiohusika.

Angalia hata Israel na namna imeweza kukaa chini na PA ya akina Abbas, hadi mabenki ya Israel yana omba kufanya kazi na Wapalestina.

Makobazi wa Syria wanaharibu hadi vituo vya utalii
Ukiinua hata mkono kumpiga mtu bila sababu za msingi unakua huna akili
 
Turkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk
Erdogan ni muongo sana huwa anapiga kelele wee kuhusu Israel lakini huwezi kukuta anapeleka jeshi kupigana na Israel.
 
Jana nimeona kule X wale Waasi wameanza kuchinja mateka wa Vita huku wakisema Shia ni Makafiri.
Isijekuwa ISIS wamerejea kutoka Turkey.
ISIS ni project ya mmarekani na washirika wake ,Israel akishirikiana na washenzi kama uturuki nk
Ukiangalia genocide waliyofanya ISIS hapo Alleppo miaka ile ndicho wanachofanya hao washenzi sasa hivi ,walichinjwa watu kama kuku vile ,tena live live , wale ni mercenaries wanaofanya kazi kwa madhumuni maalumu ya mabwana zao ,
 
Leta ushahidi wa Urusi kufanya mauaji ya makusudi dhidi ya raia ,ni lini ulisikia Urusi akizuia chakula kuwafikia raia ili wafe na njaa.
Israel kapiga msafara wa kupeleka misaada Gaza Kwa kumlenga mtuhumiwa wao .
Hivyo kuzuiwa misaada na chakula usiichukulie kiwepesi mkuu.
GdtOD3GWoAA5kff.jpeg
 
Utafika tu wakati Americant ataiona israhell takataka tuuuu
Halafu nani atasimamia maslahi ya Marekani pale middle East? Au unazani nchi zinaendeshwa kama taasisi ya familia? Unajua kwa nn Marekani anaikingia kifua Taiwan? Unajua kwa nn Russia alimuokoa Maduro wa Venezuela? Unajua kwa nn Russia anashrikiana na kiduku wa North Korea? Endelea kuota Marekani ataachana na Israel ili utashi wa maono yako ya kidini utimie. KUMBE UNAONA USA MJINGA TU ANAPOPELEKA SILAHA UKRAINE SIO? ILA UNAFURAHIA TU UNAPOONA RUSSIA ANA VIKOSI SYRIA SIO?
 
Syria hawajishikwa mikono na miguu wakaambiwa wakapigane...

Sababu ya wao kupigana ni waamini Washia ni makafiri na Wasunni ni Makafiri hao wote Wanapigana wengine ni ndugu kabisa wa Damu,. kama wanaweza kupelekeshwa Hadi kuuana hivyo basi ni Wajinga
Madrasa
 
Israel kapiga msafara wa kupeleka misaada Gaza Kwa kumlenga mtuhumiwa wao .
Hivyo kuzuiwa misaada na chakula usiichukulie kiwepesi mkuu.View attachment 3166752
Huu ndio uongo aliozoea kuzusha Israel.
Vipi na wale wamarekani wanne waliolipuliwa na gari lao la vyakula nao watuhumiwa wa Oktoba 7!?
 
Back
Top Bottom