Zamani walikuwa wana soma wazee sana kabisaaa!....! kutoka kijijini huko mikoani hasa Kanda ya ziwa !! ubabe wa kishambaaa uliwajaa !! siku hizi mambo ni tofauti vitoto vinasoma vidogooo!! hata mkononi hakajai! yaani zamani zile ukienda form one kuna wengine ni umri wa Baba yako kabisaa!
walikuwa wana rudia mnooo!! miaka saba mtu anarudia shule yamsingi tu!...walikuwa na jeuri sana ya hata kumtia Rais jambajamba Ikulu, hasa enzi za Nyerere, na hata Mwinyi, maana walikuwa wanalingana kwa umri!! walikuwa wanaona Rais ni mwenzao tu!
Hadi kijana mmoja hivi!! ni marehemu sasa aliitwa Tuntemeke Sanga huyu bana alimwambia Nyerere ana taka cheo chake cha Urais sababu tu ni kuwa walilingana kiumri!!.....na huyu sanga alisoma kitabu kimoja cha mwandishi Camala Laye aka kimaliza chote!!
Basi akajiona Bonge la msomi shujaa!! harakati zenyewe alikuwa hajui halafu alikuwa muoga flani hivi!!..akamtisha nyerere sababu ya kulewa kiingereza!! alichokipata heee!!! hadi Mkewe alimkimbia!! yaani Zamani walikuwa na ubabe wa kishamaba sana!!
Sasa leo katoto miaka 19 tu kana degree mbili!! katamdindishia Rais Samia???.....kwanza atakalaani tu kakafie mbele huko!! wala hasemi chochote haka hata kakisimama jukwaani kutkana na kutoa misimamo hakaonekani hakana kikoromo!
kuna jamaa moja la Musoma liliitwa Mantiku Mantale la Musoma huko miaka hiyo mwee!! liliandamana mpaka Ikulu...kumtishia Nyerere! Ajiuzuru!! akaliambia sawa anisubiri hapo!! Basi julius alitoka na viboko vyenye pilipili kumi kidogo!!! alilichapa lile jamaa heee!! then!
likarudishwa kijijini kwao faster na Land rover 109!! sasa kila siku likawa lina report kwa mkuu wa wilaya ya Musoma! likashika adabu mpaka lilipokufa halikunyanyuka tena!! ...kitu kikubwa kilichokuwa kinachangia migomo ni Huduma za kishule za bure
hizi walikuwa wakipatiwa wana funzi wa serikali bure kuanzia chakula, Malazi, Mavazi, Usafiri wa bure unatumia Government warrant kutoka kwenu mpaka shule kwenda na kurudi bure, pia vitabu vya ziada na kiada, Madaftri bureee! unapewa!
haya yoote ni kwa kuwa serikali iliwataka wakaitumikie!! na uhakika wa ajira ulikuwepo tena una chagua unakotaka weye mwenyewe!! sometimes unakwenda fanya Ikulu kabisaa ndo kina pinda hao! ..
lkn ktk hayo yoote kazi za Polisi, Jeshi, Ualimu, Magereza watu walivibeza wazi wazi eti ni kazi za hovyo! majasho, hazina heshima na walizikataa katakata hawakutaka hata kuzisikia, hata ukichaguliwa huko wanakudharau sana mitaani!
Vita ya Kagera watu hasa wa mikoa ya pwani walikuwa wana kataa tu maksudi!! wengine wanatoroka maksudi tu, wengine wanakaa upande waadui maksudi tu!! isipokuwa Wakurya, Wasukuma, Wahehe tu!!
hawa bana ndo walijitoa kwa moyo wooote bega kwa bega kutwangana na Idd Amini!.....ikibidi kavu kavu!! hawakujali kuvaa Buti! wala Combat! wao ilikuwa ni kusonga mbere tu! liwalo na liwe!....sometimes waliona buti ni nzito zinawachelewesha kufika Entebe.
haya yoote ni ili mradi tu!! Nyerere awe salama!...siyo hawa wa leo wana muacha jiwe anakufa kwa COVID! isiyo sema kirahisi tu!..eti wao wanabaki salama nyuma huku! naya semahaya mjue kuwa tulidhamilia!