Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

Too long, boring and devoid of substance.
 
5G ni uvumbuzi ama ni nini??
 
Usinifokee basi nimeuliza tu daah🙌🙌
 
Upo 3rd world country ambapo vyandarua, condom na matundu ya choo ya wanafunzi wa shule mnategemea US AIDS halafu unasimama kuibeza China?
Weka mindset yako iwe huru na ukubaliane na hali halisi utabarikiwa na utafanikiwa zaidi, China teknolojia yao inatisha kwa sasa, it doesn't matter wame copy au wame cut, kaa ujue huwezi copy tech ya mtu halafu kichwani huna elimu ya hio tech, China ni wasomi mkuu, mtu anaweza copy tech na akakuzidi kwa kuiboresha zaidi kuliko wewe, akaifanyia research za kutosha akarudi akawa mwalimu wako😂, hio ndio China..

Elon Musk na satellite zake umeona alivyofanya mapinduzi kwa kurusha satellite kwa gharama nafuu? Rocket zinakwenda na kurudi, nchi ngapi, kampuni ngapi, mashirika mangapi Bw Musk amewakuta na kuwapiku kwa tech hio toka space x?

Hata Rumi ilitawala dunia, Turkey ilitawala dunia, Africa tulitawala dunia na kuongoza kwenye tech lakini kuimba kupokezana mkuu, ifike muda tuache kuimba ngonjera za kuipondea China kwa maneno halafu wenzetu wanatu prove wrong kwa matendo na kuzidi kwenda mbali.

Kama vijana tukiwa na akili iliyo huru, mawazo huru, tuwaze tunanufaika vipi kipindi hiki China inakuja juu kiuchumi, kijeshi ili kujinufaisha kama Taifa na bara letu la Africa, tuone mbali zaidi baadae miaka 20,30 hali itakuwaje?

Lakini hoja za kupinga eti China hana uvumbuzi hazina mashiko na wala hazipingi moja kwa moja kwamba China ni moja ya superpower, na pia sijajikita zaidi kwenye hio njia ya kusema China hana uvumbuzi kwa sababu haina mashiko, naweza kukuletea vumbuzi nyingi tu za China, unaweza leta vumbuzi nyingi sana za Ulaya na USA lakini hazitosaidia au kupinga ukweli kwamba China ni tishio kwa sasa na sio ya kupuuza.
 
China is rising so rapidly, iwe ni kwa kuiba tech's, kufyatua low quality products etc etc. It is rising, mahesabu yao ni by 2050 they run the World ...

Sasa turudi kwetu, has it benefited us? Mimi naona ndio
Je wangechagua kuwa 'mazoba' kama sisi dunia ya leo ingekua bora zaidi? Mimi nasema hapana
 
Watu wanaozamia kwenda China
Watu wanaozamia kwenda USA.

Ukijiuliza watu hupenda kuzamia kwenda wapi ndio utajua nchi gani ni zaidi kati ya hizo nchi mbili
 
Uongo upi nimesemaje, na uongo upi nimekulazimisha ukubaliane nao?

Nilichokuambia ni kwamba hoja zako kuhusu uvumbuzi wa China hazina mahusiano ya moja kwa moja na uchumi na nguvu aliyonayo China kwa sasa, we komaa kusema Wana copy tech lakini wenzako wanasonga mbele na mbele zaidi... Hoja ya uvumbuzi ni dhaifu na China kwenye historian wana vumbuzi nyingi tu kama gun powder, compass n.k hapo hujaja vumbuzi za karibuni lakini tusielekee huko kwani hakuna mashiko yeyote na mada iliyopo mezani..

Kuwa muelewa..
 
Duuu!!!!ukisoma hizi ripot unaweza dhani uko China hakuna kampun kubwa litakalobak
 
Wakorawait
 
Ni sawa na nchi yoyote itengeneze gari lake la kwanza leo sasa watasema wamevumbua gari. Naona huyo haelewi nini maana ya Invention Vs Innovation. People need to go back to the drawing board.
 
UCHINA sio ya mwanzo kushindwa nawala haitakua ya mwisho kwahilonpole sana MKUU
 
Kila siku nasema China ni kimbunga kisichozuilika ambacho kinazidi kupata nguvu kila sekunde!

Bado muda kitambo kidogo tu kimbunga hiki kitabeba kila kitu
.... China hiihii inayojaza dampo langu kwa bidhaa zinazoharibika kwa kufanya kazi siku mbili'mbili? ... dampo langu limejaa matochi, maredio, maTV, makufuli ... kila siku wanataka kuniuzia spea za pikipiki yangu, vioo vya TV kila siku nibadilishe .....!
🤮 🤮 🤮
HAKUNA UKOLONI MAMBOLEO MBAYA KAMA WA CHINA!
INABIDI TUMTOE BARU SHETANI! (Kwa sauti ya Gwajiboy!)
 
5G ni uvumbuzi ama ni nini??
3gpp alliance ndio wahusika wa 5g.

3gpp ni muungano WA kampuni nyingi jump utakuta.
Qualcomm
Samsung
Nokia
Erickson
Cisco
Verizon
Huawei, nk.

Na kama ukizungumzia mchango basi ni Qualcomm ya USA wamehusika pakubwa.
 
3gpp alliance ndio wahusika wa 5g.

3gpp ni muungano WA kampuni nyingi jump utakuta.
Qualcomm
Samsung
Nokia
Erickson
Cisco
Verizon
Huawei, nk.

Na kama ukizungumzia mchango basi ni Qualcomm ya USA wamehusika pakubwa.
Asante kwa kunijuza mdau nashAngaa lile dubwana linanikaripia badala ya kunielekeza
 
Yes ni Mwizi wa Technology lakini kafanikiwa. Hiyo Low Technology unayosema Mbona nchi yako haiwezi. Njoo Marekani kwenyewe uone items kutoka China zinavyouzwa. Marekani Mwenyewe anaumiza kichwa namna China inavyokuja kasi halafu wewe wa Mivumoni ndio unaleta Analysis eti Low Technology
 
Umeandika Kama chizi aliyekatwa kichwa embu fatilia vizuri ulichoandika nikwambie tu China anakuja kutake over Kwa kila kitu izoo jeti engine unazosemea nikwambie tu China yupo kwenye majaribia ya mwisho ya ndege zake binafsi za abiria, utengenezaji wa magari China ameshatoka uko kitambo ana zaidi ya kampuni Saba za uundaji wa magari na miaka mitano ijayoo asilimia 30 ya magari yote ya umeme duniani yatakuwa yanatokea China, China ni muundaji mkubwa WA meli duniani kijana embu tafuta habari achana na vyombo vya magharibi vilivyoegemea upande mmoja WA habari sababu ya ugumu wa maisha ndyo maana China wanaleta bidhaa zenye Hadhi na thamani ya pesa uliyo nayoo Ila China Wana bidhaa Bora na nzurii snaa Leo hii upatikanaji wa bidhaa kama simu, computer na vingine vingi vimekuwa rahisi sababu ya China kama hukuwai kumiliki simu 2004 huwezi kujua thamani ya simu kipindi kile na Leo
 
Hahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…