Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Nilikua nina biashara ya uwakala na Kaduka kadogo ka vyakula hapa mtaani na nilikua napata Riziki ya kulisha watoto na kulipa kodi si haba, basi kuna watu wawili wakafungua biashara kama yangu kwa fujo vitu wanashindana kuuza bei ya promotion.
Mimi nikaona isiwe tabu nikatoa mtaji wangu nika beti kwenye kilimo cha mahindi niliacha biashara ya vyakula nikabakisha mtaji kidogo kwenye uwakala ambao haufiki hata laki 2,
Nilikua naumia sana sometimes hata mteja akija kutoa elf 50 nilikua sina nikapoteza wateja wengi sana kwa kifupi hali ilikua Mbaya.
Mungu akajalia mavuno ya mahindi yakawa si haba,si unaju huku kwetu mavuno ya vuli yanakuaga machache sana na watu wengi walikosa kabisa
Mimi nilipata kama gunia 22.
Kitu nilichoamua kuanza biashara ya unga wa sembe na bei nikaweka tofauti ya TSH 300 na wenzangu, Sasa wateja wote wamehamia kwangu majirani wameninunia bila sababu
Mimi napambana nirudishe mtaji wangu na ni base na uwakala na biashara ya nafaka pekee.
Je nakosea wadau kwa hii promotion ninayofanya, maana wenzangu walipanga kunimaliza kibiashara