Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Biashara sio uchawi
Biashara sio ushindani wa namja hiyo wa kutoa ofa za promotion.
Biashara ni jinsi gani una communicate na wateja wako.
Kuna watu wanafuatwa mbali kutokana na huduma zao.
Ili uteke wateja jifunze sana kuwa mkarimu, mcheshi cha mwisho despline...
Ukiishi na jamii inayokuzunguka vizuri basi jua ushamaliza kila kitu.
Hata kam kuna watu walipanga kukufanyia vitu vibaya utakuta wanaokukingia kifua ni hao hao majirani.
Kuna watu wapo radhi kukulinda wewe ili uwendelee kuwapa huduma..
Hivyo kama kuna ushindani wa namna hiyo jiulize ulikua unaishi vipi na hao wateja zako ...
Biashara ina mengi sana