Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Hata Clouds shows za bure walifanya. Hao EFM wamepata frequency za Tanga juzi tu. Ni mikakati ya kujitangaza pia.Tofauti ni kwamba shows za Clouds zina kiingilio wakati Efm wanafanya shows bureee,
Hawa jamaa wameamua kuonyeshana ubabe kila mmoja anapita alipokanyaga mwenzake hii tunaita kufuta legacy,nani kuibuka mbabe?View attachment 913426View attachment 913432View attachment 913433
Hata wese pia wanagawa buree ilmradi tu uwe na sticker ya efm 93.7Tofauti ni kwamba shows za Clouds zina kiingilio wakati Efm wanafanya shows bureee,
Tofauti ipo kubwa sana, clouds wanatoa burudani na kuingiza pesa, E FM wanatoa burudani bure wakiaminishwa na RAFIKI yao kuwa wataiua clouds, yaani Hapo ni Bashite na Ruge kwenye tasnia ya burudani. E FM watafeli tu ,
Walikosea a kumuingiza ikulu huyu anae ishi pale ndio mwanzo wa matatizo.Huyo DAB amabye akili zake zote zimehamia hapo chini ya mgongo ............... na sasa hivi anasaka wanaotumia chini ya mgongo badala ya chini ya kitovu Mungu tusaidie sijui tulikosea wapi
Wasafi nao wanaanza kazi 24 Novzama zinabadilika
Ni jambo zuri tusubiriClouds wamesema kwa kuwa mwakani watatimiza miaka 20 toka kuanzishwa kwao wanataka fiesta ijayo waende kimataifa/nje ya mipaka ya Tanzania.