Vita ya Burudani Clouds tigo Fiesta2018 Vs EFM Mziki mnene2018

Vita ya Burudani Clouds tigo Fiesta2018 Vs EFM Mziki mnene2018

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Hawa jamaa wameamua kuonyeshana ubabe kila mmoja anapita alipokanyaga mwenzake hii tunaita kufuta legacy,nani kuibuka mbabe?
Screenshot_20181028-035349.png
Screenshot_20181028-054442.png
Screenshot_20181028-054551.png
 
Wewe unalinganisha show inayolipiwa sh 7000 kama kiingilio na show ya bure??!!..either way EFM wanajitahidi
 
Siku EFM wakianza kulipisha kiingilio unitag
 
Hao jamaa wanachofanya ni sawa kabisaa hapa bado EA radio nao baada ya hizi race basdae watakaa chini kugawana mikoa ki monopoly
 
Clouds wamesema kwa kuwa mwakani watatimiza miaka 20 toka kuanzishwa kwao wanataka fiesta ijayo waende kimataifa/nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Tofauti ipo kubwa sana, clouds wanatoa burudani na kuingiza pesa, E FM wanatoa burudani bure wakiaminishwa na RAFIKI yao kuwa wataiua clouds, yaani Hapo ni Bashite na Ruge kwenye tasnia ya burudani. E FM watafeli tu ,
 
Huyo DAB amabye akili zake zote zimehamia hapo chini ya mgongo ............... na sasa hivi anasaka wanaotumia chini ya mgongo badala ya chini ya kitovu Mungu tusaidie sijui tulikosea wapi
 
Huyo DAB amabye akili zake zote zimehamia hapo chini ya mgongo ............... na sasa hivi anasaka wanaotumia chini ya mgongo badala ya chini ya kitovu Mungu tusaidie sijui tulikosea wapi
Walikosea a kumuingiza ikulu huyu anae ishi pale ndio mwanzo wa matatizo.
 
Back
Top Bottom