mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,753 Nov 10, 2018 #21 Madimba jr said: Wasafi nao wanaanza kazi 24 Nov Click to expand... hatua nzuri hiyo
mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,753 Nov 10, 2018 #22 mwasu said: Tofauti ipo kubwa sana, clouds wanatoa burudani na kuingiza pesa, E FM wanatoa burudani bure wakiaminishwa na RAFIKI yao kuwa wataiua clouds, yaani Hapo ni Bashite na Ruge kwenye tasnia ya burudani. E FM watafeli tu , Click to expand... ni suala la mikakati tu, kila mtu ana lengo lake... unahisi Clouds kutoza pesa kwenye Tamasha lao huwa inawalipa..?
mwasu said: Tofauti ipo kubwa sana, clouds wanatoa burudani na kuingiza pesa, E FM wanatoa burudani bure wakiaminishwa na RAFIKI yao kuwa wataiua clouds, yaani Hapo ni Bashite na Ruge kwenye tasnia ya burudani. E FM watafeli tu , Click to expand... ni suala la mikakati tu, kila mtu ana lengo lake... unahisi Clouds kutoza pesa kwenye Tamasha lao huwa inawalipa..?
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Nov 10, 2018 #23 mayowela said: ni suala la mikakati tu, kila mtu ana lengo lake... unahisi Clouds kutoza pesa kwenye Tamasha lao huwa inawalipa..? Click to expand... Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??...pesa wanapata pia kutoka kwa wadhamini...
mayowela said: ni suala la mikakati tu, kila mtu ana lengo lake... unahisi Clouds kutoza pesa kwenye Tamasha lao huwa inawalipa..? Click to expand... Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??...pesa wanapata pia kutoka kwa wadhamini...
mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,753 Nov 10, 2018 #24 Darmian said: Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??...pesa wanapata pia kutoka kwa wadhamini... Click to expand... Kuna Clouds, Kuna Prime time promotion kama muandaaji, (Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??) hili swali ulishajiuliza kwa EFM japo kuna wadhamini kama BIKO, HALOTEL na BULL CONDOM.. Inabidi kufahamu kwanza lengo la kuanzishwa kwa hilo Tamasha kama ni kupata kipato au Milage na kuweka mashabiki karibu
Darmian said: Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??...pesa wanapata pia kutoka kwa wadhamini... Click to expand... Kuna Clouds, Kuna Prime time promotion kama muandaaji, (Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??) hili swali ulishajiuliza kwa EFM japo kuna wadhamini kama BIKO, HALOTEL na BULL CONDOM.. Inabidi kufahamu kwanza lengo la kuanzishwa kwa hilo Tamasha kama ni kupata kipato au Milage na kuweka mashabiki karibu