mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
hatua nzuri hiyoWasafi nao wanaanza kazi 24 Nov
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatua nzuri hiyoWasafi nao wanaanza kazi 24 Nov
ni suala la mikakati tu, kila mtu ana lengo lake... unahisi Clouds kutoza pesa kwenye Tamasha lao huwa inawalipa..?Tofauti ipo kubwa sana, clouds wanatoa burudani na kuingiza pesa, E FM wanatoa burudani bure wakiaminishwa na RAFIKI yao kuwa wataiua clouds, yaani Hapo ni Bashite na Ruge kwenye tasnia ya burudani. E FM watafeli tu ,
Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??...pesa wanapata pia kutoka kwa wadhamini...ni suala la mikakati tu, kila mtu ana lengo lake... unahisi Clouds kutoza pesa kwenye Tamasha lao huwa inawalipa..?
Kuna Clouds, Kuna Prime time promotion kama muandaaji,Sasa kama haiwalipi wanafanya la nini??...pesa wanapata pia kutoka kwa wadhamini...