Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Uwanja wa teknolojia umewaka moto!
๐ฅ Qualcomm Snapdragon na MediaTek Dimensity zinaendelea kushindana kuleta chip zenye nguvu zaidi kwenye simu za kisasa. Lakini mwaka 2026, nani anastahili taji la bingwa? ๐
โก SNAPDRAGON: Inajulikana kwa nguvu za gaming, graphics na utendaji wa simu za flagship.
โข Snapdragon elite 8 Gen 6
โข Snapdragon Elite 8 Extreme Gen 6
๐ MEDIATEK DIMENSITY: Mshindani mkubwa anayetoa utendaji wa juu, uwezo wa AI na ushindani mkali katika simu za kisasa.
โข MediaTek Dimensity 9600 Pro
๐ฎ Kwa gamers, wapenda picha za ubora wa juu na watumiaji wa AI, ushindani huu ni habari njema kwa sababu unachochea ubunifu na maendeleo ya teknolojia!
๐ LAKINI NANI BINGWA? Ebu tuambie kwenye comment ๐wewe unamchagua gani Snapdragon au MediaTek ๐๐ Wanangu wa Google Tensor mkae pembeni..