Vita ya Diamond na Alikiba ilivyoua nyimbo kali za Bongo Fleva zilizotoka mwezi septemba

Vita ya Diamond na Alikiba ilivyoua nyimbo kali za Bongo Fleva zilizotoka mwezi septemba

Kuna ukweli kwa upande mmoja. Lakini kwa upande mwingine hao wapiganaji ndiyo wamesaidia huo Muziki kufikia hapo ulipo na kuajiri vijana wengi. Ushindani umekuwepo pia zamani, mfano Kimulimuli na vijana jazz, Msondo na Sikinde, Twanga pepeta na TOT nk. Huongeza hamasa na kuongeza wapenzi wa muziki pia.
 
Back
Top Bottom