Vita ya Ghaza imesimamishwa kimya kimya

Vita ya Ghaza imesimamishwa kimya kimya

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla.

View: https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw

Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo wanaingia kwenye mapatano na makabidhiano ya mateka.

Mazayuni chali.
 
Mazayuni chali,

Kwahiyo wameficha Siri na wewe umejua.
 
Vita ikisimama tushumuru Mungu. Hivi kweli mahangaiko ya watoto na wamama Gaza kweli tunaleta ushabiki? Jamani tuache kushabikia Vita. Sisi tunaomba Vita iishe
 
Ir an mjanja sana, kajitengenezea majeshi yake, na anawaza mbele zaidi hamas, hizbollah, houth siku moja israel itapigwa kutokea pande zote itashindwa wapi ijilinde na wapi iache
 
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla.

View: https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw

Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo wanaingia kwenye mapatano na makabidhiano ya mateka.

Mazayuni chali.

Wakati mwingine uache utoto! Hivi Unaona ni haki watu wazidi kuuawa? Hivi vita inatosha, naona Hamas akili zimewakaa sasa. Rejesha mateka ili uharibifu usiendelee, inatosha sasa
 
Acha iwe hivyo. Watoto na kina mama waliteseka sana kwa kitu ambacho wao jawahusiki Wala hawakijui.
 
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla.

View: https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw

Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo wanaingia kwenye mapatano na makabidhiano ya mateka.

Mazayuni chali.

Nyonzooo nyonzooo maamaee Nyonzo bin mvule Israel FOREVER whether you like it or not.

Nyoooonzooooo kammon

20240617_104327.jpg
 
Back
Top Bottom