Vita ya Ghaza imesimamishwa kimya kimya

Vita ya Ghaza imesimamishwa kimya kimya

Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla.

View: https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw

Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo wanaingia kwenye mapatano na makabidhiano ya mateka.

Mazayuni chali.

We umeona kuna mateka hapo? Nimeangalia hiyo clip yote! Wavaa madera... dah propaganda nyingi...
 
Ir an mjanja sana, kajitengenezea majeshi yake, na anawaza mbele zaidi hamas, hizbollah, houth siku moja israel itapigwa kutokea pande zote itashindwa wapi ijilinde na wapi iache
Iran inaenda kuwa na nguvu kubwa mashariki ya kati kama marekani na west hawajafanya kitu kuizuia. Maana hao wote wanaisikiliza Iran na bado huko Iraq na Syria wanatengeneza makundi mengine
 
Hivi unajua gaza hua inajengwa tena na jumuiya ya kimataifa kama fidia na israel pesa hua inamtoka, halafu pesa za mafuta zinamiminika pale kutoka dunia ya kiarabu chap miundombinu miaka sio mingi wanakua poa napenda msimamo wao wa kutetea ardhi yao
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote.
 
Lgbtq+ wa usrahell kusalimu amri kwa waarabu mbona kawaida
Haijawahi kutokea na haitakaa itokee kwa Israel ya mashariki ya kati kusalimu amri kwa waarabu labda Israel ya Maji Matitu.
 
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla.

View: https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw

Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo wanaingia kwenye mapatano na makabidhiano ya mateka.

Mazayuni chali.

Ulishasema IDF wameuliwa wote wameisha iweje tena wapo na wanaona aibu.. ? And aliyeomba po ni Hamas baada ya kuondosha kipendere cha Israel asiendelee kuwaua baada ya kubadilishana mateka...

Ila sishangai hata Jordans wana sherehe kila mwaka ushindi wa kupoteza Jerusalem... Muslim vita yeyote anasema ameshinda hata Afghanistan wanasema walishinda hahaha
 
Imesimamishwa kimya kimya lini? Wakati jana tu shule iliyochini ya UN, umeshambuliwa!! Daaaa ila dunia ina watu wenye roho ngumu sana,
 
Kwanini waislamu ni watu waongo sana? Au mtume wenu mohamad alisema woman have half brain alikuwa yupo sawa
 
Habari from Allah Tv Taqiyya forever
 
Imesimamishwa kimya kimya lini? Wakati jana tu shule iliyochini ya UN, umeshambuliwa!! Daaaa ila dunia ina watu wenye roho ngumu sana,
Mazayuni wamevunja tena makubaliano kama kawaida yao.
 
Ulishasema IDF wameuliwa wote wameisha iweje tena wapo na wanaona aibu.. ? And aliyeomba po ni Hamas baada ya kuondosha kipendere cha Israel asiendelee kuwaua baada ya kubadilishana mateka...

Ila sishangai hata Jordans wana sherehe kila mwaka ushindi wa kupoteza Jerusalem... Muslim vita yeyote anasema ameshinda hata Afghanistan wanasema walishinda hahaha
Wewe hata ukibadili ID unajulikana kwa uongo.
 
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla.

View: https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw

Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo wanaingia kwenye mapatano na makabidhiano ya mateka.

Mazayuni chali.

Watu 37k Vs 1k dealth!!
Ni kweli hamna walichofanikiwa mi mwenyewe naona
 
Wewe hata ukibadili ID unajulikana kwa uongo.
Am not a muslim so sidanganyi na ikitokea nimedanganya nasisimka kwa uoga.. and natubu haraka nyie Allah kawajaalia kuongopa kwa kupitiliza.. ndio mnaogopa kuacha uuongo ili Allah asiwa replace na watu wanaotenda dhambi so unajitahidi haswa ufanye madhambi...

Abu Huraira reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “By the One in whose hand is my soul, if you did not sin, Allah would replace you with people who would sin, and they would seek forgiveness from Allah and He would forgive them.”

Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2749

Grade: Sahih (authentic) according to Muslim

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ لَوْ لَمْ تُذْنِبُوا لَذَهَبَ اللَّهُ بِكُمْ وَلَجَاءَ بِقَوْمٍ يُذْنِبُونَ فَيَسْتَغْفِرُونَ اللَّهَ فَيَغْفِرُ لَهُمْ

2749 صحيح مسلم كتاب التوبة باب سقوط الذنوب بالاستغفار توبة​
 
Back
Top Bottom