Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM
Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.
Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania
Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya
Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?
Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.
Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?
Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?
Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.
Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi
1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM
2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa
Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.
Lissu ajitafakari!