Vita ya Israel -Iran inakata mirija pekee ya kupeleka oxygen Ulaya.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ulaya matumbo joto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi wake pekee wa nishati kutoka uarabuni baada ya kuiwekea vikwazo Urusi. Wanategemea gesi ya Qatar inayopitia pale Iran bomba lake.

Vikao haviishi kuibembeleka Iran vita iishe na wasikate bomba la gesi tafadhali wasiumbuke.

Vita ni mbaya.
 
UKISHAVAA KOBAZI AKILI INAHAMIA MIGUUNI
Vikao vya nini muda huu, kwani mgogoro walikuwa hawaujui? au walidhani Iran ingepigwa kinyonge siku ya Kwanza tu ya mashambulizi ya Israel? Akili Yako ni ya mkumbo tu, mob.
 
Ulaya matumbojoto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi wake pekee wa nishati kutoka uarabuni baada ya kuiwekea vikwazo Urusi. Wanategemea gesi ya Qatar inayopitia pale Iran bomba lake.

Vikao haviishi kuibembeleka Iran vita iishe na wasikate bomba la gesi tafadhali wasiumbuke.

Vita ni mbaya.
Hizi hoja za vijiweni Huwa mnazitoa wapi,kwa dunia ya sasa mtu hahitaji kuandika taarifa bila ya kuifanyia research.tambua kuwa hakuna bomba la gesi linalotoka Qatar na kupitia Iran na baadae kwenda ulaya

Kwa sasa, Qatar inasafirisha gesi yake hasa kwa njia ya LNG (Liquefied Natural Gas)kupitia meli, na si kwa bomba kwenda Ulaya. Pia, Qatar imesisitiza kuwa haitaelekeza gesi iliyokusudiwa kwa wateja wa Asia kwenda Ulayahttps://faraan.org/sw/qatar-hatutoi-gesi-ya-wateja-wa-asia-kwenda-ulaya/ "2".

Moderator hii habari ni uongo mtupu
 
Leta ukweli mtupu, ni upi
 
Ulaya matumbojoto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi wake pekee wa nishati kutoka uarabuni baada ya kuiwekea vikwazo Urusi. Wanategemea gesi ya Qatar inayopitia pale Iran bomba lake.

Vikao haviishi kuibembeleka Iran vita iishe na wasikate bomba la gesi tafadhali wasiumbuke.

Vita ni mbaya.
Unaposema oxygen, inamaana hewa wanayovuta ulaya wananunua? Kajifunze upya
Iran nor israel wanaweza gusa hiyo gas pipe, hiyo ni biashara ya watu. Yoyote atakae husika kuharibu anajua ni direct kuharibu uhusiano na uarabuni na west

Wahusika si wajinga
 
No reform No election
Hakuna mwenye ubavu huo hapa nchini, macho na masikio yote Yako Israel, Iran, Ukraine na Urusi. Hakikisheni kuwa hakuna atakaekufa kwenye urofa wenu huo. Safari hii akifa mtu tutakula na nyinyi sahani moja
 
Back
Top Bottom