Hizi hoja za vijiweni Huwa mnazitoa wapi,kwa dunia ya sasa mtu hahitaji kuandika taarifa bila ya kuifanyia research.tambua kuwa hakuna bomba la gesi linalotoka Qatar na kupitia Iran na baadae kwenda ulayaUlaya matumbojoto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi wake pekee wa nishati kutoka uarabuni baada ya kuiwekea vikwazo Urusi. Wanategemea gesi ya Qatar inayopitia pale Iran bomba lake.
Vikao haviishi kuibembeleka Iran vita iishe na wasikate bomba la gesi tafadhali wasiumbuke.
Vita ni mbaya.
Leta ukweli mtupu, ni upiHizi hoja za vijiweni Huwa mnazitoa wapi,kwa dunia ya sasa mtu hahitaji kuandika taarifa bila ya kuifanyia research.tambua kuwa hakuna bomba la gesi linalotoka Qatar na kupitia Iran na baadae kwenda ulaya
Kwa sasa, Qatar inasafirisha gesi yake hasa kwa njia ya LNG (Liquefied Natural Gas)kupitia meli, na si kwa bomba kwenda Ulaya. Pia, Qatar imesisitiza kuwa haitaelekeza gesi iliyokusudiwa kwa wateja wa Asia kwenda Ulayahttps://faraan.org/sw/qatar-hatutoi-gesi-ya-wateja-wa-asia-kwenda-ulaya/ "2".
Moderator hii habari ni uongo mtupu
Unaposema oxygen, inamaana hewa wanayovuta ulaya wananunua? Kajifunze upyaUlaya matumbojoto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi wake pekee wa nishati kutoka uarabuni baada ya kuiwekea vikwazo Urusi. Wanategemea gesi ya Qatar inayopitia pale Iran bomba lake.
Vikao haviishi kuibembeleka Iran vita iishe na wasikate bomba la gesi tafadhali wasiumbuke.
Vita ni mbaya.
Kobazi ndio nini? Iran inaishangaza duniaUKISHAVAA KOBAZI AKILI INAHAMIA MIGUUNI