K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Aug 19, 2021 #1 Wakubwa kati ya hizo vita ipi ni ngumu kuishinda maana namkumbuka kiongozi mmoja kila siku alikuwa akilialia kuhusu vita ya kiuchumi mpaka ikamchukua
Wakubwa kati ya hizo vita ipi ni ngumu kuishinda maana namkumbuka kiongozi mmoja kila siku alikuwa akilialia kuhusu vita ya kiuchumi mpaka ikamchukua
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,178 Reaction score 3,865 Aug 19, 2021 #2 Hiyo yakiroho unashinda kwa jina la yesu tu. Vita ya kiuchumi ndo vita ngumu kuliko vita zote
zed B JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 958 Reaction score 1,044 Aug 19, 2021 #3 Ya kiroho kama mchovu umekwisha
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Aug 20, 2021 Thread starter #4 zed B said: Ya kiroho kama mchovu umekwisha Click to expand... Mchovu kwenye nini maana tuliona mtu amepiga pushup lakini bado vita ya kiuchumi ikampitia
zed B said: Ya kiroho kama mchovu umekwisha Click to expand... Mchovu kwenye nini maana tuliona mtu amepiga pushup lakini bado vita ya kiuchumi ikampitia
J John7371 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2018 Posts 2,994 Reaction score 6,676 Aug 20, 2021 #5 Igombe fisherman said: Hiyo yakiroho unashinda kwa jina la yesu tu. Vita ya kiuchumi ndo vita ngumu kuliko vita zote Click to expand... Unamasihara wewe-Hakuna vita ngumu kama vita vya kiroho,Hata YESU uliyemtaja hakuishinda kirahisi kihivyo.Umaskini mwinginge wa mtu huwa unaanziaga rohoni 🤣 🤣
Igombe fisherman said: Hiyo yakiroho unashinda kwa jina la yesu tu. Vita ya kiuchumi ndo vita ngumu kuliko vita zote Click to expand... Unamasihara wewe-Hakuna vita ngumu kama vita vya kiroho,Hata YESU uliyemtaja hakuishinda kirahisi kihivyo.Umaskini mwinginge wa mtu huwa unaanziaga rohoni 🤣 🤣