mkuu, tayari bandari ishapanuliwa meli zinazotia nanga tanga ni sawa na zile za dar na tayari kuna ongezeko kubwa la meli. kuhusu sgr, kutoka tanga kwenda kagera kupitia wapi? geographia hairuhusu, kuna bonde la ufa, kuna mbuga ya serengeti na kuna lake victoria,
Lakini pia wazo lako lilishafanyiwa kazi kuna bomba la mafuta kutoka hoima kwenda Tanga nalo lina manufaa sawa au zaidi ya sgr.
ushindani na kenya hizo ni siasa tu strategycally kenya sio mshindani wetu mshindani wetu ni africa ya kusini na angola hilo somo nitaleta siku ingine.
Sgr ya tz na kenya kuwa katika ushindani, sgr yetu inatumia umeme ina rated speed ya 160mph, ya kenya inatimia diesel rated speed ni 120kph, hivyo yakwetu ipo kwenye best comperative advantage. treni ya kenya itatumia lita za diesel elfu 20 sawa na 70m za kitanzania wakati yakwetu itatumia umeme wa lakitano tu kugika kigali. niishie hapa kwa leo
Nadhani sio kupoteza pesa labda tuanze na lipi na kifuate kipi?Hakuna faida upotevu tu wa pesa.
Reli kutoka mtwara port haitaweza kufika Malawi maana Nyasa kuna ziwa. Suluhisho ni kuweka tawi la Tazara Mbeya mjini lishuke hadi kyela kuingia Malawi.Nadhani sio kupoteza pesa labda tuanze na lipi na kifuate kipi?
Hizo zote ni njia mbadala.
Labda tuanze na kuzalisha chuma chenyewe Mchuchuma- Liganga kupata mataluma ya reli.
Pili tujenge Reli Kutokea Mtwara Port kwenda Malawi na Zambia.
Tatu tujenge reli kutokea Isaka kupitia Kagera itakayounganisha Uganda na Rwanda.
Nne Tanga Port kuunganisha na reli ya kati via Morogoro au Dodoma kwenda Tabora ikiwa na njia yake.
Tano ni Arusha kupitia Korogwe kwenda Tanga.
In 30 to 50 years haya yanawezekana bila kusahau kuja kwa tekinologia mpya mbeleni ambazo tunachokitaka leo kitakuwa archives kwenye nyumba za makumbusho.
Kaskazini ya Malawi kwenda mji wa Kalonga Malawi hakuna maji yaani ziwa.Reli inapitika vizuri mkuu kuunganisha na Zambia. Angalia ramani ya Malawi.Reli kutoka mtwara port haitaweza kufika Malawi maana Nyasa kuna ziwa. Suluhisho ni kuweka tawi la Tazara Mbeya mjini lishuke hadi kyela kuingia Malawi.
Ni vigumu wewe kuelewa umuhimu WA kujenga Reli Kwanza nchini mwako kuamsha uchumiUkielewa faida ya ujenzi wa reli ni ipi huwezi kuandika mashudu uliyoandika hapa.
Faida ya ujenzi wa reli hii ni kusafirisha mizigo ambapo gharama za usafirishaji huo ndo pesa zitakazoinufaisha nchi.
Sie tukiacha kufanya maana yake anayekwenda kufanya kile tulichopaswa kufanya ndiye atakayenufaika zaidi
kabisa, na mizigo hii ya zambia drc south africa wanainyemelea na angola nao wanaitizama kwa hamu, hivyo tukifocus kwenye hizi nchi ni more important kuliko uganda na rwanda ambavyo hamna chochote porojo tuWewe utakuwa mnywarwanda. Soko kubwa liko DRC, Zambia, Malawi na ndio zinafuata hizo nchi ambazo ni kama mikoa tu.
Hakuna linaloweza fanikiwa na kuleta tija.Nadhani sio kupoteza pesa labda tuanze na lipi na kifuate kipi?
Hizo zote ni njia mbadala.
Labda tuanze na kuzalisha chuma chenyewe Mchuchuma- Liganga kupata mataluma ya reli.
Pili tujenge Reli Kutokea Mtwara Port kwenda Malawi na Zambia.
Tatu tujenge reli kutokea Isaka kupitia Kagera itakayounganisha Uganda na Rwanda.
Nne Tanga Port kuunganisha na reli ya kati via Morogoro au Dodoma kwenda Tabora ikiwa na njia yake.
Tano ni Arusha kupitia Korogwe kwenda Tanga.
In 30 to 50 years haya yanawezekana bila kusahau kuja kwa tekinologia mpya mbeleni ambazo tunachokitaka leo kitakuwa archives kwenye nyumba za makumbusho.
Tayari mazungumzo na China yanaendelea kuiboresha Tazara kwa kiwango cha SGR. Nina uhakika kwenye hili wataifikisha hadi Kusini mwa Congo kwenye mji wa kibiashara Lubumbashi.kabisa, na mizigo hii ya zambia drc south africa wanainyemelea na angola nao wanaitizama kwa hamu, hivyo tukifocus kwenye hizi nchi ni more important kuliko uganda na rwanda ambavyo hamna chochote porojo tu
hawachelew kukuteka na kusema nan kakutuma kumtukana rais ?Sio lazima uwe raisi
Jenga hoja uelweke
Kuna ngazi mbalimbali za kushirikisha
Maendeleo ni wote
Rwanda inaweza ikawa isiwe na mizigo mingi ila Uganda na Sudan Kusini zinaweza kuwa na faida kubwa sana huko mbeleni.kabisa, na mizigo hii ya zambia drc south africa wanainyemelea na angola nao wanaitizama kwa hamu, hivyo tukifocus kwenye hizi nchi ni more important kuliko uganda na rwanda ambavyo hamna chochote porojo tu
Congo ni potential kwa pande zote, kusini, katikati, kaskazini na Mashariki.Ni vigumu wewe kuelewa umuhimu WA kujenga Reli Kwanza nchini mwako kuamsha uchumi
Kongo NI nchi tajiri kuliko nchi yeyote duniani Kwa Mali asili hasa madini lakini NI nchi maskini mno sababu haina miundombinu ya kuyatoa hayo madini na kuyasafirisha
Mfano kusafiri toka Kinshasa hadi Katanga NI safari ya miezi mitatu
Kwa gari tena kufika NI bahatigari utaliacha screpa hukohuko au ukienda ukirudi madaraka yote ya miti hayapo au unakuta barabara imesombwa na maji haipo
Maendeleo yanaletwa na mtu mmoja mmoja.hata uvumbuzi ni wa mtu sio wa umma mfano ni antibiotic peninslin ,cocacola,traffic light, ndege n.kHakuna linaloweza fanikiwa na kuleta tija.
Unaiwazia Tanzania maendeleo na mabadiliko kama vile Tanzania ni Japan ama China.
Huwezi fanikiwa lolote kama una serikali mbovu.
Africa hali ni tofautiMaendeleo yanaletwa na mtu mmoja mmoja.hata uvumbuzi ni wa mtu sio wa umma mfano ni antibiotic peninslin ,cocacola,traffic light, ndege n.k
Bila kuwepo serikali maisha yanakuwepo.
Unasikitisha sana.Maendeleo yanaletwa na mtu mmoja mmoja.hata uvumbuzi ni wa mtu sio wa umma mfano ni antibiotic peninslin ,cocacola,traffic light, ndege n.k
Bila kuwepo serikali maisha yanakuwepo.
Uganda na Sudan hamna nchi hapo, ni wastage of time kuzifikiria, uganda hawana product hata ya kujaza meli moja, its only oil ambayo tushalamba deal. sudan ya kusini hamna biashara, bomba la mafuta linaenda khartom na walishalishana yamin hamna kuvunja mkataba.Rwanda inaweza ikawa isiwe na mizigo mingi ila Uganda na Sudan Kusini zinaweza kuwa na faida kubwa sana huko mbeleni.
Uganda cargo zao nyingi zinapitia Mbombasa. Na Uganda anafanya mapinduzi makubwa sana ya Viwanda.Uganda na Sudan hamna nchi hapo, ni wastage of time kuzifikiria, uganda hawana product hata ya kujaza meli moja, its only oil ambayo tushalamba deal. sudan ya kusini hamna biashara, bomba la mafuta linaenda khartom na walishalishana yamin hamna kuvunja mkataba.
80% ya logistics za darport ni zambania na congo zinazobaki ndo wengine wanagawana. kukaa na kuwazia uganda na south sudan ni ujuha tu.
lets focus on zambia drc zimbabwe malawi n msumbiji, northen mozambique wanategemea sana logistics kutoka tanzania.
katika report ya world bank ya african intra trade statistics tanzania ni ya kumi katika ufanyaji biashara na nchi zingine za africa. tunapaswa kukuza zaidi angalau tuwe top three. katika ukuaji wa kibiashara yaani trade grouth rate ni ya 4 ikiwa na ukuwaji wa 11.29% na business balance ya 2.27.