Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

wowgirl

Member
Joined
Jun 11, 2024
Posts
32
Reaction score
100
Hey guys hope mko poaaa

Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.

Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nini kimetokea tumepishana kauli kidogo tu naona mwenzangu kabadilika.

Sioni text zake wala call zake, zimepita wiki mbili sasa yupo kmya, wiki iliyoisha nimemtext kumpa HI plus kuomba msamaha kwa kitu hata sijui nilichotenda amejibu shortcut sana hadi nikajisikia vibaya.

Sasa na mimi niliamua kukaa kmya leo naona text yake "hey i mic you"

Wanaume mnazingua
 
hey guys hope mko poaaa

huyu mwanaume ambaye npo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miez 3 muda huo namchunguza tabia zake,

kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nn kimetokea tumepishana kaul kdg tu naona mwenzangu kabadilika ,

sion text zake wala call zake,zmepita wiki mbili sasa yupo kmya ,wiki iliyoisha nimemtext kumpa HI plus kuomba msamaha kwa kitu ata sijui nilichotenda amejibu shortcut sana had nikajisikia vby,

sasa na mm nliamua kukaa kmya leo naona text yake "hey i mic you"

wanaume mnazngua
Pole, yatakaa sawa tuu.
 
Sasa umenuniana na mmoja unatujumuisha na wote, sema mmezinguana, kwahiyo ulitegemea ulichomkosea ukiomba msamaha tu akukubalie chap chap? Ulitakiwa upate joto la jiwe hebu mjibu "I miss you too" muendelee mlipoishia
 
Hey guys hope mko poaaa

Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.

Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nini kimetokea tumepishana kauli kidogo tu naona mwenzangu kabadilika.

Sioni text zake wala call zake, zimepita wiki mbili sasa yupo kmya, wiki iliyoisha nimemtext kumpa HI plus kuomba msamaha kwa kitu hata sijui nilichotenda amejibu shortcut sana hadi nikajisikia vibaya.

Sasa na mimi niliamua kukaa kmya leo naona text yake "hey i mic you"

Wanaume mnazingua
ivi huwa mnapenda kufukuziwa mda mrefu ? mnapima au huwa mnaenda kuwaza nini?
 
Back
Top Bottom